Kipo katika hali nzuri kinafaa kwa biashara.Kutoka katika kituo cha daladala Magereza Unatembea kama mita 800..Kipo karibu na ofis za ccm...kwa mawasiliano zaid 0659663232..Bei mill 22maelewano...
Habar wakuu nauza freezer kubwa imetumika mwenz mmoja tu haina tatizo lolote sema ninahama kikaz bei ni 570k kama wataka kuna njoo Whatsap 0763772636 nipo Dar pia kuna Tv stand nayo IPO sokon bei...
Habari zenu wana jamvi
Mi naishi Dar-es-salaam , natafuta mtu mwenye mabanda au eneo ambalo hatumii kwa sasa ili anikodishie nianzishe mradi wa ufugaji wa nguruwe na kuku liwe na maji itakua...
This plot is situated in a prime area of Jangwani Beach- Mbezi Beach close to all amenities. 3310 sqm size. Do not delay on this ideal opportunity to do your own development. For more information...
Tumeagiza container la vifaa vya Solar toka Ujerumani.Sasa hivi container lipo majini ,melini litaingia baada ya wiki mbili.Anahitajika haraka mnunuzi wa jumla.Tafadhali anahitaji aje in box...
Brandnew IPhone 5 for sale
Full accessories(No Box)
16GB Internal Storage
Colours available are Space Grey and Silver
Price 430,000 For Space Grey
Price 440,000 For Silver
Contact 0784780955 or...
Kama kichwa cha habari hapo juu. Ninatafuta mbwa wa kufuga ndani.
German shepherd original wawe wadogo kama wanne.
Pia kama kuna Siberian husky or golden retriever.
Naomba uweke picha hapa na...
Wa kulima wenzangu mlionitangulia salamu kwenu....
Bado natafuta shamba Ruvu niliandika Uzi huu siku Fulani lkn si kupata mafanikio maisha magumu jamani nimeona nivumilie kwenye kilimo tuu
Namba...
Leo navuna samaki kwenye bwawa langu la samako chalinze muda huu huu.
Kwa wanaohitaji samaki kuanzia 5kg ntafanya delivery.
Bei 9000 per kg. Karibuni sana.
Mnaweza nicheki via +255688151545
Habari wanaJF
Kama nilivyoeleza. Nahitaji mchanga bora wa kufyatua tofali.
Mimi nipo moshi.
Nasikia mchanga wa bomang'ombe ni mzuri.
Naomba tujuzane bei kwa kila lori/trip. Nina uhitaji wa...
Nimelima shamba la Eka 2 lakini nilichokipanda ni cha Ekari moja
Nataka nimkatie mtu hyo Ekari moja iliyobaki
Shamba lipo Bagamoyo Mtoni pembeni ya mto Ruvu.
Shamba limesha andaliwa
PM tuongee...
Nauza simu aina ya HTC ONE MAX no 7 0928 01 yenye sifa zifuatazo
1. Aina ya simu: htc one max
2. Kioo: super lcd 3, 16 M multicolours
3. Saizi: 5.9 inches
4. Resolution: 1080x1920 pixel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.