Upungufu wa nguvu za kiume ni shida inayosumbua wengi,lishe duni,msongo wa mawazo na mitindo ya maisha ya watu wengi, vimekuwa visababishi vikubwa vya tatizo hili kwa kuona hivo kampun yetu ya...
Kiwanja kinatafutwa mabwepande kwenye eneo lililokuwa la IFM upimaji awamu ya pili uliofanywa Na Manispaa Kinondoni.Ukubwa Nita za mraba 1200.Simu namba.0658334403
Wadau, natumai amjambo, mimi ni mjasiriamali, nina duka langu lina mzigo wa milioni TANO, lipo kinondoni kwa Ali maua, lina mzigo wa maana na clasic, zuri kwa warembo wanaopend kufanya biashara ya...
Nauza kiwanja kipo km 5 toka Kivukoni Ferry na km 7 toka daraja la mwalimu nyerere, kama unaelekea njia ya mjimwema maeneo ya kwa mwingira.
Kina hati miliki ukubwa wa eneo ni mita za eneo 935...
Huyu mtu anayejiita Stevenfrank ni tapeli kuweni makini msije ingia mkenge kama alivyoninasa mimi, akidai anatoa huduma ya startimes free kwa mwaka mzima kuweka chanel 109 za DST na 3 packages za...
Wakuu wa Nchi natafuta mafuta ya nazi ya kula .Nimeangaika hapa Arusha mjini hiyo kitu hawajui ,yapo tuu ya kupaka ya watoto .kama unajua mahali yanapatikana please let's me know.
habari zenu Wakuu, Nina lengo la kufungua duka la chakula au nafaka kwa bei ya jumla hapa jijini Arusha , nafaka Hizo ni pamoja na mchele, mahindi, choroko,maharage, nakadhalika. Hivyo naomba...
Kama thread inavyosema, nauza bata mzinga wenye umri wa miezi nane. Bei kwa pair yaani jike na dume ni sh. 160,000 yaani laki na sitini kwa wote wawili.
Serious buyer aje PM. Napatikana tabata...
Wadau bata mzinga wangu sasa wameanza kutaga na nimeanza kutotolesha.Kwasasa wamebaki vifaranga 11 wa wiki 3 nauza.Pia ntakua na vifaranga wa peking ducks kama mtu anapenda anaweza weka oda.Nipo...
ZoomTanzania badilikeni na mjifunze kutoka kwa mitandao mengine. Sijawahi kuona Mtu anabandika tangazo lake linachukua siku kibao ndiyo linakuwa aproved kuwa hewani, Badilikeni na huyo mtu wenu wa...
habari wanajamvi, mm na mke wangu tunauza duka letu lipo kinondoni, kwa mtogole karibu na kwa hali maua. lina mtaji wa 5m kwa maana ya kodi ambapo kodi yet inasha mwezi wakumi na ,oja, na ndani...
Brandnew IPhone 4s for sale
Original and Full accessories(No Box)
16GB Internal Storage
Black and White colours are available
Price 300,000
Contact 0784780955 or 0718942311(whatsap)
Rejea title hapo juu mimi nina idea niliyoiandikia proposal ambayo nimewasilisha azam tv na katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ilipofikia ni pazuri kuna gharama za kuendelea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.