WADAU KUNA GARI YA HARUSI INAKODISHWA KWA MAHARUSI WETU,BEI MAELEWANO TU AIFANYIWI NJAA.IPO POA KABISA NA NI MPYA KABISA AINA YA GARI NI SIENTA INABEBA WATU SABA MAWASILIANO MPIGIE 0715 45 92 41
Tafiti zilizofanywa marekani na wanasayansi katika chuo kikuu cha Mississippi Wamethibitisha kua chupi za kubana za wanaume si nzuri kiafya ya uume wako na usalama wa mbegu za uzazi na ina...
Viwanja vinauzwa viko Mbezi Makabe Njia Panda . Ukubwa Ni "20-20" bei Sh mil.10. Vimepimwa kisasa.
Umeme upo karibu mno.
Wasiliana Na mwenye no: 0714486466.
Karibu Utengeneze computer au upate ushauri wa kitaalamu wa manunuzi ya computer au vifaa vya computer:
Sisi ni Connectmoja Tech Ltd
Wasiliana nasi:
0714 215 600 au 0777880007
mwenye kujua inakopatikana au yeye ni mtumiaji anijulishe tushirikiane wote huku nilipo naiona fursa hii ya biashara tunawez fanya biashara hiyo nasikia ni nzuri ni pm
Salaam kama wewe ni mwanafunzi wa IFM au CBE na ni mtaalamu wa kuandika michanganuo ya kibiashara kwa ajili ya kupata mitaji..
wasiliana nami kupitia namba yangu ya whatsapp
+255758441676
Ziwe kampun za sony au samsung au nokia au bose au apple. Umuhim ni kuwa na sauti ya bass iliyochujwa pia.. Kwa mwanza au dar. Nimeweka picha za mfano. 0753101020.
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. nipo dodoma nakufuta popote ulipo...
Nauza mashine ya photocopy
#Ricoh aficio mp2000
#inatoa photocopy
#ina print
# ina scan
#fax
#wireless print
Mashine iko katika hali nzuri sana yaani ni karibu na mpya.
Price: 1million maongezi...
Wadau
Kuelekea Oktoba 25,nauza Unfinished House yangu pichani.
Ipo Madale,Dar es Salaam. Ina Hati na Eneo la Uwanja ni Square Meter 1103. Ina Vyumba 4 vyote Master,VIP Lounge,Study Room nk.
Bei...
Habari ndugu wana JF.
Kwa wale wote wenye mahitaji ya kufanyiwa Electrical wiring & Installation katika nyumba zao, mnaweza kuwasiliana nasi ili tuifanyie nyumba yako Wiring ya uhakika iliyo...
Nimefanya kilimo cha cabbage Kilombero Sugar. Katika week mbili zijazo nitaanza kuvuna. Yoyote mwenye kujua mnunuzi wa Jumla aweza nijuza kwa 0786388083 au 0654087243. Asanteni
Wadau Habari za wikiend na poleni na misukosuko ya maisha,
Ninahitaji laptop nzuri aina ya DELL yenye specification angalau hizi
HDD kuanzia 500GB
RAM 3-4 GB
Processor 5i
Na vingine kama kuna Mtu...
*OFA OFA OFA OFA*
*PEARL SOAP* ni sabuni ambayo inatatua matatizo yako ya ngozi yaliyokuwa yanakusumbua kwa muda mrefu bila kupata ufumbuzi sabuni hii ni sabuni ya asili ambayo haina kemikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.