Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, Nauza flat tv LG LED inch 43 kwa TSH 1200,000/=.ni mpya, kuna mtu aliniagizia toka dubai ila ameshindwa kuilipia, ina miezi miwili tu. Kwa mwenye uhitaji anicheck kwa +255...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Brandnew IPhone 5 for sale Original na Full Boxed 16GB Internal Storage All are Silver in colour Price 440,000 Call 0784780955 or whatsap 0718942311
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Wakuu kama Title inavyojieleza hapo juu, nahitaji kufahamu baadhi ya show rooms za magari zilizopo kwa hapa Dar es salaam...itakuwa vyema ukinielekeza njia rahisi ya kufika hapo Show room, Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari, gari tajwa apo juu! Budget yangu ni 8.5mil na lazima iwe namba D.Fundi wa kukagua nnaye.
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Nina lenovo thinkpad ina ram 8gb hdd 500 core i5 bado mpyaa used wiki chache , nicheki 0719908742
1 Reactions
6 Replies
983 Views
Habar wakuu safar ya kuhamia Dodoma bado I naendelea karibu sofa set kwa bei chee kabisa ya 280k kwa Maelezo na mapicha Whatsap 0763772636 nimeshindwa kuweka picha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni habari ya kufurahisha na kuleta faraja kwa wanaomiliki hotel, biashara ndogo na ya kati. Wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa mbali mbali: Supermarket na mini...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Haina shida yeyote ipo Dar kwa yeyote anayehitaji ambaye yupo serious anicheki 0713791233 au 0784791233
0 Reactions
10 Replies
3K Views
(Salam) Nahitaji frame za biashara 1. Pharmacy/ duka la dawa 2. Barber shop Maeneo yaliyochangamka kwa hizo biashara. Kwa dsm na mwanza Call 0713774746
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In ofisi inayojishughulisha na shughuli za UPEPO kama vile kuunga pancha, kupuliza Magari ndani na kenye injini, n.k . Ofisi ni ya muda mrefu na inajulikana, kuna umeme wa kujitegemea Ofisi iko...
0 Reactions
5 Replies
968 Views
natafuta kioo cha iphone 4 au nielekeze sehemu wanapouza
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Tumeanzisha kampuni ya Mineral Consultant itakayokua inajihusisha na processing of minerals na extraction of metals from their ores. Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini, Nahitaji huduma ya mtu yoyote mwenye uwezo wa kutengeneza nyasi bandia (Artificial/ Fake grass) AU mtu yoyote anaeuza kwa reasonable price. Kwa Muuzaji: Iwe mpya au used zote sawa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa... kwa wale wapenzi wa riwaya za mtunzi Ben Mtobwa, kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote kwa kuweza kuwa chachu ya kuendeleza kazi za Mzee. Kwa mara nyingine tena...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Wanabodi kuna mtu anauza Friji lake bado linadai ni nzuri sana system ya Taa na freezer bado ipo hai sana ana emergency ya dharura ndio maana anauza pliz Nipigie simu nikuunganishe ukihitaji...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nahitaji begi kama hii tafadhali
2 Reactions
14 Replies
2K Views
npo dar,natafuta laini hizo
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Natafuta nyumba yenye sifa zifuatazo maeneo ya Malimbe au iwe jirani sana na chuo cha SAUT isizidi km 5 kutoka chuo. 1.iwe na vyumba vitatu kimoja kiwe masterbedroom. 2.iwe na hali nzuri...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum. Ninauza Honda CRV RD5 ya 2003 . Taarifa zaidi ya gari ni kama ifuatavyo; Body: SUV 5doors Engine: K24 i-VTEC, 4 cylinder, 2000C Transmission: Automatic 5-gear, 4WD...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi n kijana mjasiriamali najihusisha na kusafisha masink ya choo yaliyo machafu, tiles ziwe za bafuni ,chooni , au jikoni zilizochafuka kwa bei nafuu kabisa. Ukihitaji tuwasiliane kwa namba...
3 Reactions
59 Replies
19K Views
Back
Top Bottom