Tunatengeneza motor zilizoharibika... Generator.... Pump za maji na kusuka invetor kwa gharama ya kawaida kabisa tunapatikana Kirumba Mwanza jirani na uwanja wa CCM kwa mawasiliano piga Namba +255...
Kwa kiasi cha shilingi 255,000/=
Ina miezi miwili, headphone zake kubwa, charger screen protector ya kioo kifupi ipo katika hali nzuri ni pm kwa maelezo zaidi, napatikana dsm
Habari zenu,
Tunapenda kuwajulisha watu wote kua sasa tunatoa huduma za kukusaidia kukata kujua taarifa mbalimbali za mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani, meli pamoja na ndege.
Unachotakiwa...
Nauza vyombo Kama hot pot, chupa za chai,sufuria,dinnerset,tray,sahani za udongo na mfupa n.k. Kama hii chupa 15000 tu ukihitaji vyombo Aina yoyote nicheki whatsap number 0656801596 zaid nicheki...
Nauza tabket yangu ya itel it 1702 imetumika kwa mwezi mmoja tu bei laki na nusu kwa wenyeji wa kanda ya ziwa tuwasiliane kwa namba 0753868912 na nita poat specification zake baadae kidogo pamoja...
Ndugu wapendwa nipo Iringa nahitaji kununua pampu ya maji kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Hivyo naomba mnisaidie bei zake na nisehemu gani nitapata kwa urahisi na ni aina gani ni imara. Hasa...
Habari wadau.
Natafuta mtu anayeuza kifusi maeneo ya Kigamboni.Najenga maeneo ya vijibweni Kigamboni.
Mwenye kifusi anitafute inbox na bei yake kwa lori kubwa.
Natanguliza shukrani.
Ninauza viwanja eneo la mji mpya Kibamba Mloganzila mita 200 toka kinapojengwa chuo kipya cha Muhimbili.
Kuna njia NNE za barabara ya gari kuingilia Kibamba CCM, Kibamba kwa Mangi, Kibamba...
Hivi kwanini uendelee kuhangaika kutafuta ada eti ili ukalipie chuo fulani ukasome kozi Fulani na wakati kwa sasa unaweza ukaisoma kozi hio hio kwa njia ya mtandao na wala mtu yeyote asikuingize...
Wanajamvi habari nahitaji gari dogo ya kutembelea BAJETI YANGU NI ML3 hadi 4 iwe na documents zote na isiwe inadaiwa motor vehicle
0759007829 whatsapp
(Sitaki Passo )
Habari wakuu,
Nauza flat tv LG LED inch 43 kwa TSH 1200,000/=.ni mpya, kuna mtu aliniagizia toka dubai ila ameshindwa kuilipia, ina miezi miwili tu.
Kwa mwenye uhitaji anicheck kwa +255...
Wakuu kama Title inavyojieleza hapo juu, nahitaji kufahamu baadhi ya show rooms za magari zilizopo kwa hapa Dar es salaam...itakuwa vyema ukinielekeza njia rahisi ya kufika hapo Show room,
Ahsanteni.
Habar wakuu safar ya kuhamia Dodoma bado I naendelea karibu sofa set kwa bei chee kabisa ya 280k kwa Maelezo na mapicha Whatsap 0763772636 nimeshindwa kuweka picha
Hii ni habari ya kufurahisha na kuleta faraja kwa wanaomiliki hotel, biashara ndogo na ya kati.
Wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa mbali mbali:
Supermarket na mini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.