Nasafisha sinks za choo, tiles bathroom, tiles toilet etc

BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,211
2,329
Mimi n kijana mjasiriamali najihusisha na kusafisha masink ya choo yaliyo machafu, tiles ziwe za bafuni ,chooni , au jikoni zilizochafuka kwa bei nafuu kabisa.

Ukihitaji tuwasiliane kwa namba hii. +255744546790
1455103002357.jpg
1455103019645.jpg
1455103039115.jpg
1455103057314.jpg
1455103078729.jpg
 
Mimi n kijana mjasiriamali najihusisha na kusafisha masink ya choo yaliyo machafu, tiles ziwe za bafuni ,chooni , au jikoni zilizochafuka kwa bei nafuu kabisa.

Ukihitaji tuwasiliane kwa namba hii. +255744541125
"..wapi? unapatikana, una ofisi?..'
 
Safi sana. Siku za nyuma kidogo kuna kijana mmoja alikuwa anazunguka Sinza na vifaa vyake, alikuwa mtaalam wa kusafisha carpet.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Cjui ndugu nifahamishe
kwa ufupi mjasiria mali ni mtu anaye tengeneza bidhaa mpya ambayo inakuwa na dhamani kuliko ya mwanzo.

Mfano juice ya tunda fulani, chapati, simu, gari, fagio.
Yaani badala ya kuuza tunda(embe, chungwa apple, ) au unga wa ngano, au vyuma, kwa bei rahisi basi yeye anabadilisha katika hali nyingine ambayo itavutia na kuwa na thamani zaidi.
 
Shukrani mkuu
 
Mh! Hizi tafsiri za wale jamaa wanaofunga tai na kuongea saana kuhusu ujasiliamali. Huyu bwana anayesafisha vyoo ni mjasiriamali.
 
Back
Top Bottom