INVOICE-PROFORMA GENERATOR SYSTEM
Invoice-proforma generator is a system that can be used to easily generate your Proforma and invoice for your clients, Track payment of each invoice...
GATEWAY DESKTOP COMPUTER (ALL IN ONE) YENYE SPECIFICATION ZIFUTAZO INAUZWA
v Hard Disk 1TB (GB 1000)
v Ram 6 GB
v Processor Core i3
v Mouse and keyboard ni wireless
v Display Inch 21
v...
Macbook Pro 13inc unibody.
Processor Intel core 2 duo 2.24Ghz
Ram 4gb
Hdd 500Gb
Nvidia GeForce video adapter.
13inch LCD screen
Pc is in Excellent condition and fully operational.
Price Tsh...
Wadau kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza nahitaji kontena tupu ya futi 20. Offer yangu ndio hiyo hapo. Yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa PM.
Asanteni.
Habari wana jf,
Nauza seti za perfume za kike na kiume.. Seti moja kubwa inakua na vitu vitano...
Kwa seti za kike, inakua na perfume, spray, sabuni, poda na lotion..
Kwa seti za kiume, kunakua...
Plot ipo TABATA SEGEREA MT 900 toka stand ya daladala hakijapimwa lipo eneo zuri sana kwa makazi na biashara ni mali yangu mwenyewe sq metre 486 kina urefu 27 na Upana 18 bei ni 20 million kwa...
Orliflame ni kampun ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50.
Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na...
wazima?
Naomba kuuliza kama naweza kupata mkopo kutoka either kutoka bank/ taasisi ndogondogo za kutoa mikopo au hata watu binafsi?
Kiasi cha mkopo ni milions kadhaa ila dhamana naweka vyeti...
habari wana jf wenzangu samahanini kwa usumbufu mwenzenu ni mgeni na ninaomba kujua au kufahamishwa kwa undani kuhusu chuo cha rao healthy training center kilichopo wilaya ya rorya mkoa wa mara...
Wakuu nahitaji chumba na sebule. Maeneo ya mwenge / sinza / survey au ubungo. Isiwe mbali na barabara.
Kuwe kuna maji na umeme.
Kodi isizidi 120,000.
Kama unayo au una info zozote naomba uni pm.
Bei: Mil 35
Ina hali nzuri
Engine: vvt-i
2392cc
Mileage: 32400 km
Imetengenezwa: 2010
Mazungumzo yanaruhusiwa kama una nia
Mawasiliano: 0652 859530
Karibu