Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,272
Nimewahi kukisoma kitabu tajwa hapo juu na baadae kikapotea. Nimekikumbuka sana kitabu hicho na nimekitafuta sana kwenye maduka ya vitabu sijakipata. Naomba yeyote anayejua kinakopatikana anisaidie sambamba na kile na 'Buricheka' Makali hodARI na 'safari za mfalme Guriva' Hivyo vya mwisho naweza kuwa nimekosea majina kidogo