Natafuta vitabu hivi

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Ni vitabu vya zamani lakini vilikuwa ni vizuri, vinaburudisha na kufundisha.

1. Hekaya za abunuwasi

2. Malimwengu 1-12

3. Adili na nduguze

4. Bulicheka na lizabeta

5. Abdul

6. Alfu lele u lela 1-4

7. Mzimu wa watu wa kale na vingine vingi vya zamani,kwa wale waliovisoma watakubalian nami, anayejua vinapopatikana anijulishe.
 
Vitabu kama Sanda. ya jambazi, Kikomo no1 na 2, njama, kikosi cha kisasi na vingine vingi vya mzee Ernest Musiba. Ikivisoma vitabu vya mzee Musibu, ilikua hamna haja ya vilamu tena.
 
Vitabu kama Sanda. ya jambazi, Kikomo no1 na 2, njama, kikosi cha kisasi na vingine vingi vya mzee Ernest Musiba. Ikivisoma vitabu vya mzee Musibu, ilikua hamna haja ya vilamu tena.
Elvis Musiba,in marehemu kwa sasa
 
Mkuu umenikumbusha mbali miaka ile nikiwa msingi na sekondari 1988-2002,wanafunzi wa miaka hiyo tulipenda kujisomea vitabu mbalimbali kupata maarifa,nami navihitaji vitabu hivyo nivisome tena.
 
Na Kaptula la Marx!!!!? Mkuu Ukipata namba 1 na 6 ⚅ tujuzane
 
Wako wapi watunzi wa vitabu hivi?,mbona watunzi wa sasa wengi wanatunga mapenzi tu au uchawi?
 
Wako wapi watunzi wa vitabu hivi?,mbona watunzi wa sasa wengi wanatunga mapenzi tu au uchawi?

Yes, vinatia kichefuchefu kwa kweli hivi mamlaka husika haiwezi control hili, si sawa na porn tu sasa?
mimi nimekumbuka kitabu cha hadithi cha Kibibi Gula, gamba la Nyoka.
 
Kwa wale waliobahatika kusoma vitabu vya Nick Cater,watakubaliana na Mimi kuwa Musiba hakuwa mtunzi .
 
Yes, vinatia kichefuchefu kwa kweli hivi mamlaka husika haiwezi control hili, si sawa na porn tu sasa?
mimi nimekumbuka kitabu cha hadithi cha Kibibi Gula, gamba la Nyoka.
umenikumbusha mbali mkuu,gamba la nyoka nilikisoma 85
 
natafuta kitabu cha EDDY GANZERI KITANZI na PILI PILIPILI sijui nItaviipata wapi mara mwisho kuvisoma ilikuwa 1995
 
Ni vitabu vya zamani lakini vilikuwa ni vizuri, vinaburudisha na kufundisha.

1. Hekaya za abunuwasi

2. Malimwengu 1-12

3. Adili na nduguze

4. Bulicheka na lizabeta

5. Abdul

6. Alfu lele u lela 1-4

7. Mzimu wa watu wa kale na vingine vingi vya zamani,kwa wale waliovisoma watakubalian nami, anayejua vinapopatikana anijulishe.
Namba 3 na 6 vinapatikana pale Mlimani City nenda kuna bookshop pale utavipata
 
Back
Top Bottom