Hapo sasaNdugu wanajamvi nimepata nyumba nzima vyumba vitatu na sebule na kila chumba ni self nahitaji Mimi vyumba viwili tu nae achukue kimoja na sebule Mimi ntalipa laki mbili yeye alipe laki moja tu aliyetayari kama ni binti ani pm tuendeleze maisha .
Ukilipa yote watakuja wengiNdugu wanajamvi,
Nimepata nyumba nzima vyumba vitatu na sebule na kila chumba ni self, nahitaji mimi vyumba viwili tu nae achukue kimoja na sebule.
Mimi nitalipa laki mbili yeye alipe laki moja tu aliyetayari kama ni binti ani pm tuendeleze maisha.
Mkuuu ni nyumba nzuri sana ina Geti ni rahisi kupaki na usafiri wanguKwa nini umepanga nyumba ambayo hauhitaji?
Nmependa bint bcz ni wasafThen,mtashea na bed,na mvua hizi,one house na binti,weka mbali na sketi kwa mvua hizi
Tangazo gani hili sasa? Hujataja ni wapi daahNmependa bint bcz ni wasaf
ulishapata?Nmependa bint bcz ni wasaf