Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Viwanja vinapatikana kigogo fresh maeneo ya pugu karibu na kwa waziri mkuu mstaafu mizengo pinda.ukubwa ni miguu 20x20 bei milioni tatu tu.nb umeme upo.mawasiliano 0755221899
0 Reactions
6 Replies
2K Views
playstation2 inauzwa unapata na kila kitu chake kwa laki na sitintu 160,000... ipo katik hari nzuri kabisa 0656028454 0716332309
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Iwe mpya kama used basi iwe in meant condition (full accessories) kwa bajeti ya 400k. Kama unayo njoo pm chap chap
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Uongozi wa (T.A.C) unawatangazia wazazi wote kuwaleta watoto wao waliomaliza darasa la saba ili kuwapatia mafunzo yatakayowaandaa kuanza elimu ya sekondari. Masomo ni miezi mitatu na yataanza...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Habari wana JF, Kwa ambaye ana gari lililokwisha tumika (used car) na angependa kuliuza tafadhali tuwasiliane kwenye namba hizi. 0762890123 0672698356
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Htc Desire 620 smart phone imetumika kidogo kioo chake kimecrack kidogo kwa juu pembeni, ila iko na hali nzuri. Bei maelewano. Inaanzia 150000
0 Reactions
8 Replies
738 Views
Habari yenu wakuu! Nimekuja mbele yenu nahitaji msaada..... Nahitaji kupata location ya mtu hadi anapoishi kwa kutumia namba yake ya simu pia naona simu yake iko hewani. kama unajua software...
0 Reactions
6 Replies
798 Views
Hivi hizi self stick nikiuza 10000/= nani hapa ataninunuza? Zaidi ya moja bei inapungua
1 Reactions
17 Replies
2K Views
WanaJF, Natafuta fundi au kampuni inayotengeneza makabati ya nguo yanayo jengewa ndani ya nyumba. Je, unafahamu kampuni inatengeneza makabati imara? Picha zake unaweza kuzionyesha hapa? wana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Memory card brand ya lexar professional ambayo haijawahi tumika inauzwa tsh 35000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauzwa external hard drive, haijawahi kutumika iko kwenye box lake. Ni brand ya HD ELEMENTS. Storage capacity ni 2TB. TSH 250000 Price is negotiable.
1 Reactions
6 Replies
965 Views
Ram 2gb Hdd 320gb Wifi Bluetooth Web camera Bettre 4hrs Vga port Window 7 Size 11.6 712191251 285000
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Internal 64 gb Inatumia wifi na cellular wifi Bei 300000 Kwa picha na kwa mnunuaji nitafute kwa no hapo juu
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Habari wana JF, Kwa ambaye ana gari lililokwisha tumika (used car) na angependa kuliuza tafadhali tuwasiliane kwenye namba hizi. 0762890123 0672698356
1 Reactions
0 Replies
829 Views
Wandugu, Kuna kiwanja kipo mbezi msakuzi kinauzwa ukubwa ni 20*20 ni kiwanja kikubwa lakini mwenyewe amekikata kwa ukubwa wa 20 kwa 20 Ila ukihitaji chote utauziwa pia Mawasiliano 0713926364...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lori linauwezo wa kubeba maximum10ton, linaoperate Dar es Salaam na viunga vyake, Contact 0754889999
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shamba hili limeshalimwa Tayari na sasa linakodishwa kwa wewe utarudisha gharama za maandalizi,,aliyekodi alitaka alime mazao ya mbogamboga lkn sasa amepata dharura ya fedha hivyo analikodisha kwa...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
ram 2Gb hdd 160gb WIFI bluetooth lcd Backlight hdm Headphone output VGA Betre 3 hrs 295000 0742597426
0 Reactions
2 Replies
864 Views
natafuta simu MFOX A8 AU A11 ni military mobile phone kutoka China nimeipenda, nipo tayari kununua bei isizidi 1 milion
0 Reactions
4 Replies
783 Views
Tunauza kontena empty futi 20 ishirin hazitumika bongo zimeleta mzigo tu basi Bei ya kila kontena ni dola 1750 $$ 1750$$$ Kwa mahitaji yako piga 0656436662 Zipo nyingi sana karibun Piga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom