Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dar

kalikumutima

Senior Member
Oct 9, 2014
147
46
Viwanja vinapatikana kigogo fresh maeneo ya pugu karibu na kwa waziri mkuu mstaafu mizengo pinda.ukubwa ni miguu 20x20 bei milioni tatu tu.nb umeme upo.mawasiliano 0755221899
 
Miguu ndio nini? kuna miguu ya mwala na hashim thabit,je aliyepima miguu ni nani? weka vipimo standard kama meter.
 
ImageUploadedByJamiiForums1473402794.354046.jpg


Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 5.0M.

Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa kienyeji vizuri sana.

Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana.
Waweza kulipia kwa Awamu mbili pia.

1.6Km toka Hapo Chanika Stand.
 
KIWANJA KINAUZWA KIPO TANDALE UZURI HAKINA UDALALI NI KIKUBWA CHA KUTOSHA KABISA KATIKA KUWEKEZA MIRADI KAMA SHULE,YARD,KIWANDA ,ZAHANATI,N.K KINAUZWA MILION 800. TAFADHALI MAULIZO NA MAELEKEZO 0679450025 EMAIL.hakimusadock@gmail.com WAJULISHE NDGU NA JAMAA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom