Shamba la eka 2 lililolimwa tayari linakodishwa .

Shamba la eka 2 lililolimwa tayari linakodishwa .

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Shamba hili limeshalimwa Tayari na sasa linakodishwa kwa wewe utarudisha gharama za maandalizi,,aliyekodi alitaka alime mazao ya mbogamboga lkn sasa amepata dharura ya fedha hivyo analikodisha kwa atakaye taka...
Shamba limeshaandaliwa kama ukilikodi unaanza kupanda mzao yako moja kwa moja
Na uhakika wa maji ni mkubwaa kwa kuwa lipo Bagamoyo kwenye bonde la mto Ruvu ni Km 1 tokea barabara kuu iendayo makurunge,
Kama una water pump uta enjoy lkn pia kama huna kule wapo wakulima wengine unaweza kuongea nao ukaazima na kutumia kwa kuweka mafuta yako ktk water pump


Gharama za kukodi

Miezi 6= 240,000. Kwa Ekari 2
Kulima 70,000.
Kukwatua 60,000.

Kilimo cha umwagiliaji maana lipo mtoni
Mazao yanayo kubali:

Mboga mboga za aina zote...
Tikiti
Mpunga
Mahindi
N.k
Kama unahitaji tuwasiliane 0713926364
Dharura ya ni ya haraka sana.
 
Back
Top Bottom