playstation2 inauzwa unapata na kila kitu chake kwa laki na sitintu
160,000... ipo katik hari nzuri kabisa
0656028454
0716332309
Tunapatikana temeke..unapatikana wapi?
Yaa...unaweza kuingiza kipato kama biashara nyingine tu ... mm mwenyew nachezesha hayo magame huku mtaan kwetu kikubwa ni kupata location nzuri.. na kuzijua vizur mashine zenyewNaomba unitoe ushamba mkuu faida ya play station katika kuingiza kipato yaweza kutumika kibiashara?