Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza kiwanja changu sh. mil 1 na nusu tu. Kipo vikindu, ukubwa wa kiwanja ni mita 20*20. Piga 0625667292.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza lumia ipo kwenye hali nzuri bei ya chee
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuanzia septemba mosi mwaka huu, shirika la umeme tanzania (tanesco) litaanzisha operesheni kabambe na endelevu ya kukusanya madeni ya wadaiwa wake wote kwa nchi nzima. Uongozi wa shirika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni vitabu vya zamani lakini vilikuwa ni vizuri, vinaburudisha na kufundisha. 1. Hekaya za abunuwasi 2. Malimwengu 1-12 3. Adili na nduguze 4. Bulicheka na lizabeta 5. Abdul 6. Alfu lele u...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Naitaji techno C8.. Bajeti yangu ni 150. Mwenye nayo njoo pm. Asante!
0 Reactions
7 Replies
865 Views
Nimewahi kukisoma kitabu tajwa hapo juu na baadae kikapotea. Nimekikumbuka sana kitabu hicho na nimekitafuta sana kwenye maduka ya vitabu sijakipata. Naomba yeyote anayejua kinakopatikana...
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Habarini wadau, Nipo dar, nauza mayai ya kuku aina ya kroiler na vifaranga vya kuku aina ya kroiler. Pia tunatoa ushauri wa namna gani ya kufuga kuku kwa njia za asili. Kwa myenye mahitaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni designer nauwezo mzuri katika kudesign napenda tambua kuhusu utengenezaji wa viatu vya ngozi mahitaji yanayo hitajika nakazalika plz naombeni msaada wenu wanajamvi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza toyota hilux bei 7.5 haidaiwi chochote na kama inadaiwa italipwa kwa bei ya Manunuzi ipo mwanza inatumia Diesel manual gear ni nzuri kwa long trip na matumizi yake ya mafuta ni mazuri...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Gorofa + nyumba ya kawaida + swimming pool Na Eneo la kutosha: 4000 sqr meters Mawasiliano: +255716939441
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bei Ni milioni mbili na nusu,shamba lipo jirani na mto usiokauka maji linafaa kwa kilimo na ufugaji. Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Nyumba ina vyumba 2 vya kulala, Sitting room,jiko na toilet with bathroom ndani...mimi natumia bedroom moja na siting room
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nauza hizi accessories wakuu, zote ni original. Samsung USB flash drive 3.0 duo 64gb Inasupport usb 3.0, vilevile ni backward compatible na 2.0 Ina 64gb storage capacity Inasupport dual...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Nahitaji nyumba ya kuchangia,nyumba yoyote itakayonipendeza niko tayari kuishi,nimeoa na nina watoto wawili.Kwa yeyote aliye na nyumba na anahitaji sharing tuwasiliane mimi niko SOWETO-MBEYA...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Ndugu wanajamvi, Nimepata nyumba nzima vyumba vitatu na sebule na kila chumba ni self, nahitaji mimi vyumba viwili tu nae achukue kimoja na sebule. Mimi nitalipa laki mbili yeye alipe laki moja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale wenye iphone na wangependa kubadil housing zilichakaa au kuchubuka na kuzfanya simu zionekane mpya tena... unaweza ukabadil had rang pia .... place your order now!
0 Reactions
1 Replies
887 Views
The Bureau for Industrial Cooperation (BICO) UDSM is organizing a 4 days course called “Result-Based Monitoring and Evaluation” This course will provide participants with M&E tools, techniques and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Manu: Suzuki Year: 2005 Mileage: 130,000 Color: Black Engine capacity: 2000cc Bei 25m maongezi yapo
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Maeneo Mbezi beach Kawe Kunduchi Maximum sharing cost 100000 Any gender
1 Reactions
82 Replies
7K Views
Natafuta chumba(masterbedroom) au single/na sebule ila kiwe kizuri maeneo ya kinondoni.Iwe karibu na kituo cha mwendokasi.Bajeti yangu mwisho ni 80000 miezi sita...
0 Reactions
5 Replies
737 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…