Natafuta nyumba yenye sifa zifuatazo maeneo ya Malimbe au iwe jirani sana na chuo cha SAUT isizidi km 5 kutoka chuo.
1.iwe na vyumba vitatu kimoja kiwe masterbedroom.
2.iwe na hali nzuri...
Habari wana jamii forum.
Ninauza Honda CRV RD5 ya 2003 .
Taarifa zaidi ya gari ni kama ifuatavyo;
Body: SUV 5doors
Engine: K24 i-VTEC, 4 cylinder, 2000C
Transmission: Automatic 5-gear, 4WD...
Mimi n kijana mjasiriamali najihusisha na kusafisha masink ya choo yaliyo machafu, tiles ziwe za bafuni ,chooni , au jikoni zilizochafuka kwa bei nafuu kabisa.
Ukihitaji tuwasiliane kwa namba...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Natafuta kiwanja maeneo hayo,
Kiwanja kiwe kimepimwa,kiwe na hati ya serikali.
Ukubwa kuanzia sq mtrs 1000 na kuendelea.
Kiwe tambarare kabisa.
Kiwe...
Raum New Model...
Metallic Silver, sporty tires 15', Pimped, iko vizuri sana, no dent, no accident... number C..!! Well maintained..!!
Bei 10.5 Mil... pics zinakuja...
PM me for What's up
we # RUNGWE TRADING CO LTD. deals with clearing and freight forwading across international boundaries. we gives you the delivery satisfaction you have been missing. we # locate at mnazi mmoja...
Wadau, habari zenu?
Wapi kwa hapa Tanzania naweza kupata materials + wataalamu wa kunitengenezea floor na ukuta wa bafu langu la mbao isipenyeze maji katika mbao?
Habari za weekend.
Kwa wale wasichana au akina mama wanaosoma/watakaosoma vyuo mbalimbali Nairobi Kenya,ninawatangazia kuwa kuna hosteli ya jinsia ya kike pekee inapatikana katikati ya jiji la...
Nauza Plot TABATA segerea eneo halijapimwa lina ukubwa wa sq metre 589 urefu 27 upana upande mmoja ina 18 mwingine 22 bei ni 20 million mazungumzo yapo umbali toka kituo cha daladala hadi kwenye...
Chumba self kinatafutwa maeneo ya Magomeni au Manzese...
bei isizidi elfu 50 kwa mwezi..
NB;Kikipatikana hata Ubungo siyo mbaya
Nijulishe PM kama unacho
Nimefuga kuku wengi wa kienyeji, ningependa kupata soko la uhakika hasa miji ya Dar, Moro na Dom.Naweza kukuletea mahali ulipo kwa order ya kuku wengi. Kuku wangu ni wenye afya na wamechanjwa...
Wadau natumai ni wazima,
Naomba msaada wa namna ambavyo naweza kupata mashine ya kuchimbia visima virefu hadi 200Metre,bei yake, na matumizi ya mafuta (petrol/diesel), pamoja na specifications...
Natafuta kontena futi 20, lakukodisha, baada ya mda naweza nikainunua kama utaitaji, pawe nauwezekano wakulihamisha, seham nyingine. nipo Dar es salam sinza. kwayeyote mwenye ufaham nitafute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.