Habar wakuu safar ya kuhamia Dodoma bado I naendelea karibu sofa set kwa bei chee kabisa ya 280k kwa Maelezo na mapicha Whatsap 0763772636 nimeshindwa kuweka picha
Hii ni habari ya kufurahisha na kuleta faraja kwa wanaomiliki hotel, biashara ndogo na ya kati.
Wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa mbali mbali:
Supermarket na mini...
(Salam)
Nahitaji frame za biashara
1. Pharmacy/ duka la dawa
2. Barber shop
Maeneo yaliyochangamka kwa hizo biashara. Kwa dsm na mwanza
Call 0713774746
In ofisi inayojishughulisha na shughuli za UPEPO kama vile kuunga pancha, kupuliza Magari ndani na kenye injini, n.k .
Ofisi ni ya muda mrefu na inajulikana, kuna umeme wa kujitegemea
Ofisi iko...
Habari,
Tumeanzisha kampuni ya Mineral Consultant itakayokua inajihusisha na processing of minerals na extraction of metals from their ores. Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na...
Habarini,
Nahitaji huduma ya mtu yoyote mwenye uwezo wa kutengeneza nyasi bandia (Artificial/ Fake grass) AU mtu yoyote anaeuza kwa reasonable price.
Kwa Muuzaji: Iwe mpya au used zote sawa na...
Habari wana jukwaa...
kwa wale wapenzi wa riwaya za mtunzi Ben Mtobwa, kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote kwa kuweza kuwa chachu ya kuendeleza kazi za Mzee.
Kwa mara nyingine tena...
Wanabodi kuna mtu anauza Friji lake bado linadai ni nzuri sana system ya Taa na freezer bado ipo hai sana ana emergency ya dharura ndio maana anauza pliz
Nipigie simu nikuunganishe ukihitaji...
Natafuta nyumba yenye sifa zifuatazo maeneo ya Malimbe au iwe jirani sana na chuo cha SAUT isizidi km 5 kutoka chuo.
1.iwe na vyumba vitatu kimoja kiwe masterbedroom.
2.iwe na hali nzuri...
Habari wana jamii forum.
Ninauza Honda CRV RD5 ya 2003 .
Taarifa zaidi ya gari ni kama ifuatavyo;
Body: SUV 5doors
Engine: K24 i-VTEC, 4 cylinder, 2000C
Transmission: Automatic 5-gear, 4WD...
Mimi n kijana mjasiriamali najihusisha na kusafisha masink ya choo yaliyo machafu, tiles ziwe za bafuni ,chooni , au jikoni zilizochafuka kwa bei nafuu kabisa.
Ukihitaji tuwasiliane kwa namba...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Natafuta kiwanja maeneo hayo,
Kiwanja kiwe kimepimwa,kiwe na hati ya serikali.
Ukubwa kuanzia sq mtrs 1000 na kuendelea.
Kiwe tambarare kabisa.
Kiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.