Habari wana jf nyumba nyumba inauzwa iko boko basihaya sehemu nzuri kabisa ni nyumba inavyumba vitatu vya kulala master moja,chumba cha kusomea, sebule, jiko, sehemu ya kulia chakula, sehemu ya...
Wadau naombeni kujua kuhusu changamoto,njia za usafirishaji,bidhaa au mazao yenye soko kwenda nchini comoro...ningependa kusikia ushauri wenu na kupata mtu mwenye experience na biashara huko anipe...
Simu ni used imetumika mwezi tu from S.Africa nauza bei powa kabsa. Uwezo wake ni Android 5.0.1; Ram 2, storage GB16.bei ni 200k tu bei haipungui niko Dar kama unahitaji ni call 0625489948
Wadau salamuni,
Naomba kama kuna muuzaji wa simu aina ya HTC One Vx rangi ya RED au SILVER naomba anijulishe, vile vile nataka na complete screen ya simu hii manake niliyokuwa nayo ilipasuka so...
Brandnew IPhone 5s for sale
Original and Full Boxed
16GB Internal Storage
Space grey......560,000
Gold colour......580,000
Call 0784780955 or whatsap 0718942311
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Shamba heka 30 linahitaji kulimwa kwa tractor. Mwenye kutoa huduma hiyo tuwasiliane ktk namba 0714796870
0624070410
Shamba lipo Dar es salamm Magoza mji mpya...
Wakuu naomba mwenye kujua soko la ndizi na mihogo kwa dar es salaam.
Au kama kuna mfanyabiashara yeyote ambaye yuko dar anitafute tufanye biashara ya kueleweka.
KWA WKELI BEI ZAO NI NZURI..WAFANYAKAZI WACHANGAMUKIE. HIYO YA VYUMBA VITATU COMPLETE KAMA UNAIJENGA WEWE KWA KUDUNDULIZA INACHUKUA MIAKA MITATU..HUKU UNAISHI MAISHA YA SHIDA..HATA NHC na NSSF...
Nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya savei dakika 5 tokea mliman city.
Nyumba moja ni kubwa ina vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo chake. Ina tiles bei yake ni tsh 300,000 kwa mwezi...
Brandnew IPhone 5s for sale
Original and Full Boxed
16GB Internal Storage
Space grey......560,000
Gold colour......580,000
Call 0784780955 or whatsap 0718942311