MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,748
- 6,653
Wadau salamuni,
Naomba kama kuna muuzaji wa simu aina ya HTC One Vx rangi ya RED au SILVER naomba anijulishe, vile vile nataka na complete screen ya simu hii manake niliyokuwa nayo ilipasuka so screen nyingine inahitajika
Now nipo Mwanza ila wiki mbili zijazo nitakuwa Dar
simu yenyewe ni hii hapa