Natafuta mafundi wa mashine za Hospital

Natafuta mafundi wa mashine za Hospital

Mr II

Senior Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
158
Reaction score
17
Natafuta Mafundi wa kutengeneza mashinde mbalimbali za hospital kama x-ray, ultrasound, CT scanners, MRI. Piga 0756514644/0715514 644
 
Acheni kumkatisha tamaa, tz kuna watalaam wazuri tu tupo. Uko wapi ndg?
 
Natafuta Mafundi wa kutengeneza mashinde mbalimbali za hospital kama x-ray, ultrasound, CT scanners, MRI. Piga 0756514644/0715514 644
Hizo machine ziko wapi? Na zina matatizo gan?
 
Natafuta Mafundi wa kutengeneza mashinde mbalimbali za hospital kama x-ray, ultrasound, CT scanners, MRI. Piga 0756514644/0715514 644
Mr 2, kuna mtaalamu tegemeo yuko Mbeya. Wasiliana nae kwa 0754/0715/ 353144
 
Ajiri bio medical engineer akishindwa atawasiliana na wataalam kutoka Kenya na mambo yatakuwa super
 
Back
Top Bottom