Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

AC,Motor,au Friji havifanyi kazi vizuri sabababu ya unaishi eneo lenye umeme mdogo?(LOW VOLTAGE)Suluisho lipo. Je unafahamu umeme mdogo ni hatari kwa vifaa vyako vyenye aina ya motor,sababu...
1 Reactions
11 Replies
669 Views
Pata ramani nzuri na za kisasa zaidi Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla Mawasiliano...
13 Reactions
465 Replies
68K Views
Kwa mahitaji ya sabuni za savonor za vipande(kutoka burundi) SIFA ZA SABUNI 1.ZINA POVU LA KUTOSHA 2.ZINAFAA KWA MAJI AINA ZOTE 3.ZINAFAA KWA KUFULIA 4.ZINAFAA KWA KUOGEA Kwa muhitaji karibu...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
KARIBU KENZO ACCESSORIES Kenzo accessories ni wauzaji wa Accessories zote za simu, saa na Smartwatch tunauza jumla na rejreja ACCESSORIES TUNAZO UZA 📌Smartwatch 📌Saa za kawaida 📌EarPods...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa. HONLG Cc...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapi ni mahali au shop ya kuaminika kufanya service ya electronics hasa TVs kwa Dar.
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Baada ya kuchapisha nyuzi kadhaa za kuomba ushauri na changamoto ninazo pitia kipindi hiki cha njaanuary, nmepokea maoni na sasa sina budi kuweka mnadani kifaa changu cha kazi niweze kutatua...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete'
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Bei : 250,000/= Imetumika mwezi 2 tu . Kwa mawasiliano : 0678650509
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897
6 Reactions
36 Replies
2K Views
WanajamvI anahitajika fundi mtalaam wa kuweka urembo kwenye NGUZO za nyumba mwanza
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Cheni Original Haipauki | Original Genosos necklace Bidhaa hii ni kutoka Japan, Original Genosos Necklace haipauki kwa gharama ya Elfu hansini tu. Free delivery in Dar es salaam. Mikoani...
0 Reactions
8 Replies
691 Views
2bhk Apartment For Sale At Upanga, Kilombero Street. Features: 2 Bedrooms Public washroom Living room Dining room Kitchen Parking space Price: 70,000 USD. Negotiable. Property Type is...
3 Reactions
0 Replies
328 Views
Property Investors Company inauza Viwanja Vigwaza Kwala vyenye sifa: [emoji835]Ni Viwanja vilivyopimwa tayari kwa hati [emoji835]Vipo umbali wa km6 toka Vigwaza mizani. [emoji835]Vipo njia ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Wakuu, nahitaji moja kati ya magari hayo (Vitz la cc 1200 au IST) Bajeti yangu ni 5.5 Million.
1 Reactions
1 Replies
380 Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu nauza shera. Shera ni mpya nzuri ninaiuza bei iyo kwa sababu ya dharula iliyojitokeza ambayo inaitaitaji fedha kwa ambae atakuwa serious ni pm ili nikutumie...
2 Reactions
9 Replies
637 Views
Wakuu nauza gari yangu Toyota vitz Mwaka 2003/2004 Transmission automatic CVT Engine cc 1298 Colour silver. Ipo kwenye condition nzuri kabisa Tairi bado zipo vizuri. Air condition system ipo njema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom