Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Ney Ubuyu wa Kishua Unaanzaje kupitwa na kiburudisho hichi kizuri Ubuyu mzuri wenye ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili Jumla na Rejareja unapata Kisado 20,000 Ndoo ndogo 40,000 Ndoo...
0 Reactions
6 Replies
470 Views
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Mungu azidi kuwabariki nyote ambao mmependwa na BWANA kwa kuwazidishia afya njema na pumzi yake ya bure. Kabla sijaleta maono haya naomba niseme mimi siyo mwanasiasa...
3 Reactions
14 Replies
724 Views
Kwema wadau? Nahitaji supplier wa tende aina ya saad 10Kg zile za kupima mwenyewe na Maghadi zile za 1/2Kg. Msaada please.
1 Reactions
2 Replies
396 Views
Hiki ni kitabu kinachohusu Historia ya Tanzania: Siasa, Uongozi na Utawala. Hiki sio kitabu cha kukosa, kina madini ya kutosha. Kwa watakaohitaji wawasiliane na mwandishi kwa namba 0686396946 na...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
1 Reactions
6 Replies
706 Views
Anaye hitaji ajira ya kufundisha English medium school akuje inbox
1 Reactions
5 Replies
469 Views
Natafuta chumba master sebule na jiko maeneo ya mbagala, tandika au temeke
0 Reactions
2 Replies
678 Views
YOM: 2007 Engine type: QR20 Capacity: 1990cc Automatic Petrol 93000 Kms Imported from Japan Haijarudiwa Rangi popote . Price: TZS. 14.8m . Call: 0717 650800
0 Reactions
5 Replies
682 Views
• Direction: near Segerea Road • Structure: no structure inside • Facilities: fenced • Ideal: residential • Plot Area: Sqm 1077 • Document: title deed • Price: TZS 65 million (fixed) • Site...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Ni kitabu chenye page 50 chenye mkusanyiko wa jumla ya Hadithi 16.Ambazo zinaweza kusomwa na watu wazima na Watoto.Hadithi zenye lengo la Kuburudisha,kuonya,kukosoa na kurekebisha tabia. Kitabu...
5 Reactions
8 Replies
393 Views
Nauza caustic soda flakes (99.5%), kwa yeyote mwenye mahitaji anicheki kupitia namba 0675703608, napatikana Dar Es Salaam. Kampuni SolartesMega Company Limited, mzigo tunao wa kutosha! Nauza kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Koti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake.. Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu. 2. Kukanyaga mafuta...
37 Reactions
153 Replies
72K Views
Mambo vipi wakuu Kwa waliowahi miliki Apple developer accounts kwa ajiri ya kupublish app zao app store Nahitaji account hizo kwa offer nzuri Asante.
0 Reactions
3 Replies
431 Views
TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo...
3 Reactions
2 Replies
933 Views
Kwema Wadau Inatafutwa Ya Kununua Land Lover Defender 110 Engine 200 tdi or 300 tdi (Diesel) Year 2000 - 2002 Double Cab Would Be More Likely But Not Limited Mnunuzi yupo Dar es Salaam...
3 Reactions
12 Replies
814 Views
Habari, Nyabiri tiba asilia ni kituo kinachotoa huduma za matibabu kwa kutumia dawa zinazotokana na mimie. dawa zetu ni za asili hazichanganywi na kemikali yoyote na ni dawa za uhakika. Tunacho...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom