Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kichwa kinavyosema, Nahitaji duka au mahali wanapouza vifaa vya kupandikiza mimba kwa wanyama..almaarufu "uhamilishaji" Nahitaji hivi vifaaa hapa chini:- 1.Liquid nitrogen container lita tatu...
2 Reactions
8 Replies
423 Views
TUNATOA HUDUMA ZA GARDENING DESIGNATION kwenye makazi, Maofisi, mataasisi, vituo vya mafuta na sehemu nyinginezo ili kuipendezesha mandhari husika. Gharama zetu ni Sawa na bure, msingi ni ubora wa...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
AQUOUS r6 Storage 128gb Bei 335,000 Clean Haina kipengele labda kipengele uje nayo tajiri😀 Ubungo darajani 0️⃣6️⃣9️⃣3️⃣1️⃣7️⃣6️⃣1️⃣9️⃣7️⃣
1 Reactions
0 Replies
274 Views
350k 0718909429 Dsm
0 Reactions
8 Replies
718 Views
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Ocean View Plot for Sale in Salasala! 🌊🌟 📍 Location: Salasala mwisho wa rami, situated on a hill with breathtaking ocean views. 🏡 Perfect for building your dream home with a luxurious pergola...
1 Reactions
2 Replies
504 Views
Plot Available For Sale. Location: Kahama road, Masaki, Dar es Salaam. Size: Sqm 1200. Price: 1.5 Million USD, Fixed. Document: Ownership with Title Deed. Contacts: 0784 829565 0767 833345...
2 Reactions
7 Replies
718 Views
Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
2 Reactions
8 Replies
980 Views
Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price. Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139) UKUBWA WA KIWANJA SQM 820 KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI BEI: 110M...
1 Reactions
6 Replies
673 Views
Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Rejea kichwa habari...Aina yoyote inayoweza njia ya vumbi...yenye milima. Shukran imetangulizwa.. Kimtindo mtindoe....mtindisho....mtindishhhdoooo.
3 Reactions
10 Replies
764 Views
Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake. Kimetumika miezi mitano peke yake Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano...
1 Reactions
3 Replies
626 Views
Habari zenu waungwana... Naomba kuelekezwa mahali zinapouzwa mashine za kutengeneza mihuri, hapa Tanzania, vizuri zaidi kama ipo hapa hapa Dar es Salaam. Nawasilisha. Mfano wa hizi mashine
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari ya siku watu wa jf, Nauza Extrnall transcend gb 1000 (1TB) 100,000/-95,000/ niko MASASI MJINI MTWARA 062721875:
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Msaada tutani. Lodge nzuri karibu na Edema. Bei 25k hadi 30k
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Back
Top Bottom