Plot4Sale Ofa Viwanja Vilivyopimwa Vigwaza Kwala

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,504
5,707
Property Investors Company inauza Viwanja Vigwaza Kwala vyenye sifa:
Ni Viwanja vilivyopimwa tayari kwa hati
Vipo umbali wa km6 toka Vigwaza mizani.
Vipo njia ya kwenda bandari kavu ya Kwala inayojengwa.
Bei zetu ni reasonable yaani 2,500 kwa square meter moja.
Unaweza lipa kwa cash au kwa awamu mpaka unamaliza.
Kutembelea site ni bure hakuna gharama.
Tunavyo Viwanja vya ukubwa mbalimbali.
Pia tuna miradi mingine ya viwanja vilivyopimwa maeneo ya Misugusugu Kibaha, Pangani Maili Moja Kibaha, Vikawe-Kimele Baobab, Vikawe Mpiji, Bunju Mji Mpya, Madale Mivumoni, Mbutu Kigamboni, Cheka Kigamboni, Mwasonga Kigamboni, Mwongozo Kigamboni.

Dodoma maeneo ya Iyumbu, Chamwino, Kitelela, Mahoma Makulu, Nala Ringroad, Nala Chihoni, Chahwa.

Ofisi zetu Dar zipo nyuma ya Ubungo plaza.

Dodoma zipo Capital City Mall.

Call/SMS/WhatsApp: 0686601716
IMG_20221125_064355.jpg
IMG_20221125_064439.jpg
IMG_20221125_064417.jpg
 
View attachment 2427002View attachment 2427003View attachment 2427004
Hizi picha ni wapi??je huduma ya maji ipo?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo njia ya kuelekea bandari kavu Nina eneo la ukubwa usio pungua ekari 6 naweza kuunganishwa na mteja wa kuhitaji kujenga Yard /Depot?
Eneo lipo apo katikati Kijiji Cha soga
 
ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 18
 
Juzi nlikua mbezi nimeshangaa sana kuona daladala zenye route ya mbezi - kwala

Adse huu ukanda wa Morogoro road unakua kwa speed

Hii route ya mbezi to boko mnemela nayo wakina kuweka lami. Patachangamka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom