Wapendwa wana JF naomba muongozo wenu.natafuta soko au wateja wa jumla wa nta na asali.nitafurahi zaidi nikipata wateja wanaoexport kwa ajili ya bei nzuri.kwa yeyote anayejua vizuri kuhusu hili...
Wakuu karibuni nauza mchele super kabisa kutoka mbeya kyela,kwa bei ya tsh 2000/kg na tsh 2200/kg nakuletea popote ndani ya dar kuanzia kg 50.
Napatikana msasani karibu na msaani shopping mall or...
Gari tajwa hapo juu inauzwa, sababu za kuuza ni mabadiliko tu ya mfumo wa maisha, haina shida yeyote..
Year of manufacturing: 2002
Imported: 2012
ODO: 110,000+ chache
Transmission: Manual...
(FENICHA ZOTE ZIMESHAUZWA)
Habari wana Jf
Fenicha zifuatazo za ofisi zinauzwa kwa bei rahisi kabisa. Zimetumika kwa muda usiozidi miezi 8 tu
1. Meza ya kichina (imported, executive table) kubwa ya...
Wakuu, Vunja bei hapa nabwaga HTC desire eye yenye camera safi, flash mbele na nyuma , 4G Lte network na kioo kipana kwa bei pouwa sana ya 450k (pungufu unaongea)
Simu ipo full na vifaa vyake...
I'm giving you a free ride on the Uber app (up to TZS9,000). To accept, use code 'gerryj209ue' to sign up. Enjoy! Details: https://www.uber.com/invite/gerryj209ue
Natafuta Soldering Machine na vifaa vyake, mchine hii ni ile inayotumiwa na mafundi simu katika kuchomelea vifaa vya umeme(angalia mfano wa picha).
Mhitaji yupo Dar
Iwe mpya au used(kwenye hali...
Simu tajwa hapo juu inauzwa ina wiki tatu tangu inunuliwe, ina kila kitu chake rist ya kununulia, warrant yani ni fuul box bei ni laki 320k kwa anaehitaji pm au nipigie 0625655771 anytime tufanye...
NI AUTOMATIC,INATUMIA PETROL,TON 1 NA NUSU,IMETEMBEA KM 150,000
VIBALI VYOTE VIKO VALID....
BEI YA KUUZA NI 9,000,000/
GARI NI NZIMA KUPITA MAELEZO
KWA MAWASILIANO 0715591141 DSM...
Nahitaji mkopo wa haraka wa Tsh mil 3, riba na utaratibu wa marejesho ni makubaliano yangu na mkopeshaji. Dhamana naweka gari yangu yenye usajili namba D. Napatikana Dar es Salaam.
Kwa...
NImejipanga kuanzisha mwalo kwa ajili wa wachimbaji wadogowadogo wa madini ya dhahabu kwa sasa naitaji msaada wa madini ya mercury tu.
Aliye na mzigo huo anipm tufanye biashara,
Kama unauza tecno,huawei yenye sifa au zinazokarbiana au kuzidi hizi njoo tuyajenge
Cpu 1.3ghz
Ram 1gb
Primary camera 8mp
Sec camera 5mp
Kuanzia rolipop au mushroom
Internal 8 up to 16
Iwe nzima...
Nauza educational games and toys kama vile puzzles,phonic and math cards,animal toys, blocks and lego,number and letter set na vinginr vingi vya dizain hiyo vyote ni vya mtumba but vupo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.