Habari wadau, mm ni mfanyabiashara wa Mbao ndefu na fupi aina zote(treated & untreated), Milunda, Mabanzi na Nguzo mbalimbali hadi zinazotumiwa na Tanesco na TTCL.
Ninauza kwa Jumla na...
Ina vyumba vitatu mojawapo ni self contained, zipo nyumba tatu kwenye compound moja, pamezungushiwa ukuta, bei ni tshs 400,000 kwa mwezi, jinsi ya kulipia ni maelewano. Ni-PM kwa maelezo zaidi.
HABARINI WANANDUGU
Nilikua naomba msaada wa kujua vitu vifuatavyo:
njia za kupata banda kwa ajili ya kuuza bidhaa gharama za banda kipindi cha maonyesho na idadi ya wafanyakazi unaopaswa kua...
natafuta chumba cha kupanga morogoro karibu mazimbu au kihonda mwenye kujua wapi kuna vyumba nijulishe sasa hivi maana niko njia panda kimawazo au nipe namba zako nikupigie
Laptop hp mpya inauzwa ina specification kama zifuatazo.
Ram 4gb,
Harddisk 1 telabite,
Core i3
Screen inch 17.
Bei ni laki sita na ishirini (620,000) Tuwasiliane kupitia 0713806767
Habari mwana jamvi?
Natafuta sehemu wanaotengeneza mizinga ya nyuki kwa Dar es Salaam.
Nahitaji kwa kuanzia kama mizinga 10
Kama unafahamu tafadhali ni PM
Asante
*Stereo Headphone with Retail Package Bluetooth V4.1 AUX Audio Cable.Headset soft PU coated material, feels very smooth, does not hurt your ears when used, with fairly large diameter is 76mm ear...
Katika maendeleo ya sayansi na teknolojia, kampuni inayotengeneza simu za TECNO sasa imekuja kitofauti na simu Phantom 6 ambayo ndio toleo jipya kabisa. Simu hii imekuja na vitu vingi vipya...
Kampuni ya unilever courier services inakuletea parcels,document, vipeperushi,magazeti au mzingo wowote hadi nyumbani.gharama ni nafuu kabisa, unaweza kutuagiza pia tuwapelekee wateja wako...
Kampuni ya unilever courier services inakuletea parcels,document, vipeperushi,magazeti au mzingo wowote hadi nyumbani.gharama ni nafuu kabisa, unaweza kutuagiza pia tuwapelekee wateja wako...
WEST UPANGA - MINDU STREET - IS A BEAUTIFUL AREA FOR INVESTING.
1350 SQM
PRICE : USD 1.650M @Negotiable.
For more Information, Please PM...
No time wasters Please....!!!
Karibuni!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.