Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Baiskeli hii inatumika na watoto kuanzia umri wa mwaka hadi miaka minne. Wakati wakiwa wadogo wanaendeshwa na mtu mzima ila baada wanaendesha wenyewe. Bei ni 60000. Imetumika ila ipo kwenye hali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
camera imetumika kidogo ila ipo kwenye hali nzuri, ina battery na charger.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyie........nahitaji chaja original ya "acer aspire 5720z".........kwa ambaye anabiashara mkononi nijibu hapa nitarudi baadae........madali acheni habari zenu.....maana kwa vya juu hamjambo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari watz. samahan natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe na dona kwa bei ya jumla isiyozidi 21,000 kwa mfuko wa kilo 25. nanunua kuazia mifuko 10 mpaka 20. mtaji ukiongezeka nitanunua mpaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kariakoo, au upanga. Ni kwa ajili ya wanafunzi wanne wa chuo, Kama unafahamu nafasi iliyopo wazi naomba tufahamishane humu kwenye huu uzi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Shamba lipo wilaya ya kilosa unaweza lima mazao ya chakula au kulima miti.Heka moja laki5. mazungumzo yapo. Mawasikiano:0765505756
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Viwanja vinapatikana kigogo fresh maeneo ya pugu karibu na kwa waziri mkuu mstaafu mizengo pinda.ukubwa ni miguu 20x20 bei milioni tatu tu.nb umeme upo.mawasiliano 0755221899
0 Reactions
6 Replies
2K Views
playstation2 inauzwa unapata na kila kitu chake kwa laki na sitintu 160,000... ipo katik hari nzuri kabisa 0656028454 0716332309
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Iwe mpya kama used basi iwe in meant condition (full accessories) kwa bajeti ya 400k. Kama unayo njoo pm chap chap
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Uongozi wa (T.A.C) unawatangazia wazazi wote kuwaleta watoto wao waliomaliza darasa la saba ili kuwapatia mafunzo yatakayowaandaa kuanza elimu ya sekondari. Masomo ni miezi mitatu na yataanza...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Habari wana JF, Kwa ambaye ana gari lililokwisha tumika (used car) na angependa kuliuza tafadhali tuwasiliane kwenye namba hizi. 0762890123 0672698356
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Htc Desire 620 smart phone imetumika kidogo kioo chake kimecrack kidogo kwa juu pembeni, ila iko na hali nzuri. Bei maelewano. Inaanzia 150000
0 Reactions
8 Replies
712 Views
Habari yenu wakuu! Nimekuja mbele yenu nahitaji msaada..... Nahitaji kupata location ya mtu hadi anapoishi kwa kutumia namba yake ya simu pia naona simu yake iko hewani. kama unajua software...
0 Reactions
6 Replies
786 Views
Hivi hizi self stick nikiuza 10000/= nani hapa ataninunuza? Zaidi ya moja bei inapungua
1 Reactions
17 Replies
2K Views
WanaJF, Natafuta fundi au kampuni inayotengeneza makabati ya nguo yanayo jengewa ndani ya nyumba. Je, unafahamu kampuni inatengeneza makabati imara? Picha zake unaweza kuzionyesha hapa? wana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Memory card brand ya lexar professional ambayo haijawahi tumika inauzwa tsh 35000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauzwa external hard drive, haijawahi kutumika iko kwenye box lake. Ni brand ya HD ELEMENTS. Storage capacity ni 2TB. TSH 250000 Price is negotiable.
1 Reactions
6 Replies
933 Views
Ram 2gb Hdd 320gb Wifi Bluetooth Web camera Bettre 4hrs Vga port Window 7 Size 11.6 712191251 285000
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Internal 64 gb Inatumia wifi na cellular wifi Bei 300000 Kwa picha na kwa mnunuaji nitafute kwa no hapo juu
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Back
Top Bottom