Hiyo fake#price 48,000
Labda typing errorHiyo fake
itakua 480,000#price 48,000
Hiyo s5 ni lte?Ipo s7 edge mkuu...price 1.4mil
Uomena chief...wabongo washazoea vya bei ndio vyenyewe....thanx kwa kusaidia kuwaelimisha.Unajua sisi wa bongo no market ignorance mtu kakwambia hiyo bei unasema fake unajua bei ya hiyo from original market yaani mtu ana diriki kwenda kwa furani eti kisa vitu vyake ni OG ila bei mkasi wakati kuna wengine wanauza bei poa