Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni chumba na sebule self. Nililipia miezi minne ila nimehamishwa kikazi nataka kuondoka. Utanipa jumla 350,000/= kwa miezi minne ambayo nilishalipia. Kama unahitaji nicheck 0687 418 218.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuku wa kisasa aina ya layers wanauzwa bei Tsh.12000/= tuu Kwa mawasiliano namba 0784860715 au 0719158510 Karibu!
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Kama kicha cha Habari kinavyojieleza: nauza kuku wa mayai bei 12000 tuu. Nipo maeneo ya kitunda (Dar es salaam) Kwa mawasiliano namba 0784860715 au 0719158510 Karibu!
1 Reactions
1 Replies
782 Views
Habar wakuu natafuta kiwanja cha kujrnga Nyumba ya vyumba vinne, chooo bafu,sebule, dining, pia pabaki nafasi ya paking na garden bajey yangu ni mil moja na nusu maeneo nyegez,buhongwa igoma,na...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Naomba msaada wa jinsi ya ku-book ndege aina ya fast jet
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ina disc gb 200 ram 2gb dell 0715825530 nipo dar
0 Reactions
21 Replies
5K Views
naomba kwa anaejua ukulima wa uyoga nahitaji msaada kwa hili natamani sana ukulima wa zao la uyoga napenda iwe ajira yangu kupitia uyoga sababu huku nakotoka vijana wamejikita zaidi kwa ufugaji na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kinyerezi 600square meter kwa sh.15million,umbali kutoka barabara kuu ni nusu kilomita,karibuni sana tuwasiliane 0673269820.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauza Lumia ipo fresh haina shida kioo 4.7" bei 160000 maongezi kidogo yapo
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Nahitaji printer HP LaserJet 1100...hata ikiwa used...
1 Reactions
4 Replies
739 Views
Habar wapendwa.nauza mikanda ya kupunguza tumbo ambayo ni ya mtumba.wiki moja tumbo halipo.imewasaidia watu weng sana hasa wamama waliotoka kujifungua.naleta popote ulipo.bei ni 25000.napatikana...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Natafuta meza ya Ofisini, iwe mpya au used sawa. Budget yangu haizidi 120,000/=. Nipo Dar. # 0684 14 14 76
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Hallo. Natafuta CCTV Monitor yenye HDMI Port. Isiyozid 20 Inches.
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Hjambo rafiki! Ninauza Jogoo wenye kilo kati ya 3.5-5 kg kwa shilingi 20,000 tu. Hawa ni kuku watam sana na wa kienyeji wenye asili ya Malawi, Ninapatikana Kimara Temboni mataa wa Saranga, waweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kuna MTU anauza water pump kwa Tsh. 200,000/= ameutumia mwezi mmoja na anauza kwa sababu anashida na fedha kwa dharura Inatumia. Petroleum Inch 2
0 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji419] UTANGULIZI [emoji117] Hivi unajua kwamba afya zetu zinategemea kabisa na hali zilivyo za utumbo wetu ??? Ngoja nikujuze sasa, Pindi mtu anapoamua kuishi maisha ambayo yanahatarisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vilivyokatwa tayari na kutengwa mitaa vinauzwam hakuna dalali, vinapakana na Shule na zahanati ya Zingiziwa, vipo Barabarani kabisaa, kila kimoja ni 2.8, kwa wanunuzi wa uhakika karibu PM
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilipata mteja
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu wadau. Naomba kujua kampuni ambayo inatoa usafiri wa kukodi kwa magari ya abiria hasa coaster kwa mkataba kwa hapa Arusha na ofisi zao zilipo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Back
Top Bottom