DEAR CLIENT THIS IS JUST A SUMMARY OF WHAT YOU SHOULD ASK ME(IRRIGATION ENGINEER) BEFORE AND AFTER DRIP IRRIGATION SYSTEM INSTALLATION
Engineer Octavian Justine Lasway
Irrigation and Water...
Shamba linauzwa lipo bagamoyo kiwangwa, ni kilometa 10 toka bagamoyo mjini pia lipo karibu na mto wami, ni hekari 20, linauzwa milioni 22 kwa hekari zote,,,
Pia unaweza kununua nusu hekari ambayo...
Anahitajika mwalim wa tuition.....I mean pre form one..
Conditions:
Awe amemaliza six o chuo
Awe mkazi wa Moro municipal
Allowance:
Kila siku elf5....(kila pindi)
Note:
Inahtajika aanze...
Nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vya kulala vitatu (3), iwe kuanzia maeneo ya Tuangoma mpaka Kibada, isiwe mbali sana na barabara kuu. Ni vyema ikawa na umeme lakini hata kama haina umeme...
Galaxy note 3 mpya inauzwa ina 32GB internal memory,rangi nyeusi,camera mp 13 inasupport 4G nauza kwa sababu nililetewa simu 2 toka korea so nimeamua niuze simu 1 bei 400,000 kwa mawasiliano...
Wadau nimedokoa sehemu nimeona niwashirikishe na nyie, nimeona simu mpya kutoka Itel inaitwa it1556 ina teknolojia ya kuchajisha simu nyingine yaani OTG yaani ni USB inayounganishwa na kwenye simu...
Habari
Hii juice dispenser inauzwa, ni yangu mimi ila imeshatumika mda flani ila inafanya kazi
Bei yake ni sh laki tano(500,000) ila inapungua kiasi
kwa mawasiliano nicheck hapa 0689154853...