happy frumence
Member
- Nov 4, 2016
- 11
- 0
Nauza simu ya tecno sh laki na elfu kumi tu taslimu za kiTanzania
Uko juu sana kwa bei,kwa used unafanya 110,000 mpaka dukani kwa sasa zinauzwaje?,ungefanya kwanza utafiti mdogo wa bei madukaniNauza simu ya tecno sh laki na elfu kumi tu taslimu za kiTanzania
Njoo PM tufanye biashara maana nataka nimchukulie mdogo wanguCoz ntasafirish kwa gharam zang apo ten ww huto ingia gharam yakupost yoyote
PM sijaelewa mwayNjoo PM tufanye biashara maana nataka nimchukulie mdogo wangu
Prime MinisterPM sijaelewa mway
Nauza simu ya tecno sh laki na elfu kumi tu taslimu za kiTanzania
Dodomwaishi wapi kwani...?
PM maana yake private message kwahiyo anamaanisha nenda inbox mkamalizanePM sijaelewa mway
Nashukur ndugu mungu akubarikiPM maana yake private message kwahiyo anamaanisha nenda inbox mkamalizane
Mwenyewe nilisemaga hivyo, hali ilivyokuwa ngumu ndo nikazipenda. Mambo ya Samsung, iPhone 7 na HTC baadae sana.Tecno simu hovyo kabisa
Cyombay ongera yako wewe unae tumia mabomu hujui cku ya kukulipukia eg iphone , SamsungTecno simu hovyo kabisa
0657202480 tunaweza ongea zaidi kuusu biasharNjoo PM tufanye biashara maana nataka nimchukulie mdogo wangu
0657202480Njoo PM tufanye biashara maana nataka nimchukulie mdogo wangu
Mimi natuma apple iPhone 7 sio haya mamchina yakoCyombay ongera yako wewe unae tumia mabomu hujui cku ya kukulipukia eg iphone , Samsung