mikopo ya ujenzi

mikopo ya ujenzi

kapuko

Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
16
Reaction score
3
One 2 One focus co.ltd ni kampuni ya ujenzi inayosaidia wateja wake kupata mikopo ya ujenzi wa nyumba za makazi na za biashara.
Ili uweze kukopa inabidi uwe na kimoja kati ya vifuatavyo;
Hati ya kiwanja,
Biashara halali,
Mkataba wa kazi,
kwa maelezo zaidi piga 0654556060 ama watsup +79641326188
 
Mkuu wazo lako ni zuri sana na pia unania ya kweli kuifanya hii biashara,
Nitakucheki kwenye mawasiliano yako.
 
mkuu,

wengine viwanja vyetu hati zake ni za serikali za mtaaa je tunakopesheka?
 
hiz
mkuu,

wengine viwanja vyetu hati zake ni za serikali za mtaaa je tunakopesheka?
hizo hapana bos,. hazikubaliki lazma uwe na hati iliyotolewa na halmashauri,. tunaweza kukusaidia ukapata hiyo kama ukitaka
 
One 2 One focus co.ltd ni kampuni ya ujenzi inayosaidia wateja wake kupata mikopo ya ujenzi wa nyumba za makazi na za biashara.
Ili uweze kukopa inabidi uwe na kimoja kati ya vifuatavyo;
Hati ya kiwanja,
Biashara halali,
Mkataba wa kazi,
kwa maelezo zaidi piga 0654556060 ama watsup +79641326188
Mpo wap
 
Kijitonyama Street,Makumbusho Complex
Plot [HASHTAG]#45C[/HASHTAG],Block B,1st Floor
 
Hapa naona dhamana za viwanja vikichukuliwa, hii ni hatari sana, endapo utajaribu kuweka dhamana ya kiwanja na kushindwa kurejesha mkopo, nyumba na kiwanja vitakuwa vyao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom