Nauza gari aina ya Suzuki Cary.

Nauza gari aina ya Suzuki Cary.

92brow

Senior Member
Joined
May 15, 2016
Posts
142
Reaction score
169
Salaam wandugu nauza gari aina ya Suzuki Cary ipo Dar bei ni ml.6 iko vzr alie tayari karibu tuyajenge.
1478856054191.jpg
1478856081574.jpg
 
Gari hizo zinafaa sana mijini huku kwetu kijijini sidhani km inaweza kufaa.
 
Hapana ndugu ipo home ukiitaji kuiona karibu.
 
0756316832 nyinginee hii hapa ilikuwa Dom kama vp mnaweza iona ni nzuri kama jamaa hajabadili mawazo ya kuiuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom