appoh 19:59 Today
nauza
samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea
serfin more
shiling 10000 kwa pea
orange more shiling 10000 kwa pea...
Gari inauzwa, ni suzuki vitara yenye engine ya V6 manual. Haidaiwi popote. Body/engine vipo katika hali nzuri. Bei ni 5m. For serious buyers, pls tuwasiliane!
Natafuta mteja wa air condition nimeitumia kwa mieezi mtatu tu. Nimeacha kuitumia baada ya kufunga biashara yangu ya Saloon ya kike.
Kwa hiyo nimeamua kufungua aina nyingime ya biadhara ambayo...
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri na huu mwendo kasi ,
Nina mpango wa kuhamia Dodoma na Nina scania tipper mende kwa ajili ya biashara yaani kubebea mchanga .Naomba kuuliza kama Kuna mtu...
BEST HD Spy Wrist Watch 8GB Video Recorder Hidden Camera Waterproof Camcorder
PRICE TSH 140000=
Contact: Only serious buyer may call/ whatsuApp )0765428633 [emoji95]ONYO USIWEKE NAMBA YAKO SIMU...
Kiwe katika maeneo ambayo tayari yameendelezwa, maeneo ambayo watu wameshajenga au ujenzi unaendelea...na kiwanja kiwa na hati miliki. Kiwanja kiwe na ukubwa usiopungua 1000 square meters. Kama...
Shamba linauzwa liko Kiegea, karibu na Tungi Estate - Manispaa ya Morogoro
Lina ukubwa wa heka 10, Bei Milioni 16 (mazungumzo yapo)
Mawasiliano: 0712263764
Brands kati ya LG, Samsung au Star-X, mpya au used. Offer yangu ni sh. 600,000/= Hakikisha sio copy ya brand nilizo zitaja. Njoo PM naamini tutafikia makubaliano.
Vizuri ikiwa na HDMI port 2 na...
Habari natoa fursa kwa vijana wote tunauza mayai 5500 ofice zetu ziko tabata atakaeuza tray 50 kwa siku atalipwa efu 10 kwa siku atakaeuza tray. 100 atalipwa efu 20 .kwa maelezo zaidi tupigie...
nauza laptop yangu ya dell d620 (roho ya paka)iliyo katika hali nzuri na safi.
Specification
80gb HDD(utaongeza mwenyewe)
3gb ram
Duo core@1.66ghz
Battery ipo poa sana
Problems
Mstari mwembaba...
NIMEONA TANGAZO KWENYE GROUP LA WHATSAPP JUU YA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KILIMO
MAHALI/;- chuo kikuu dar es salaam mkabala na UDASA Club.
SIKU:- JUMAMOSI,DESEMBA 10,2016.
Ila nimeshindwa kujua...