habari wadau,nahitaji mtu yeyote mwenye chumba chakupangisha kuanzia maeneo ya ubungo stand ya mkoa mpaka big brother kikiwa mabibo ni vizuri sana...bei kuanzia shilling 40 - 50 naomba ni PM...
Habari?
Nahitaji chumba cha biashara maeneo ya Magomeni au Manzese...
Bei isizidi 50,000/= kwa mwezi.
Njoo pm au nitumie text hapa 0766444050(whatsapp only)
Asante
haijatumika sana bdo mpyaaaaaaaa
Bei ni 2m sina maelezo sana chombo kinajieleza
Mawasiliano ni 0625499022 nitxt
Whatsap 0657445777 ...
Npo dar manzese.....
Karibuni JEWS CONSTRUCTION inapatikana Kerege na Bunju.
Tuna supply vifaa vya ujenzi.
Tume establish kiwanda cha matofali kilichopo Kerege na Bunju.
Tunatoa tofali zenye ubora wa hali ya juu...
JE VIDONDA VYA TUMBO LIMEKUWA NI TATIZO SUGU KWAKO?
Piga/Whatsapp:
+255 719 700 745 na/au +255 677 368 220.
Yawezekana umepata tatizo la Vidonda vya Tumbo na kusumbuka kwa Muda mrefu.
Njoo...
Bei ni tsh laki moja tu Kwa heka Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea
Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe
Kwa mawasiliano zaidi npigie 0764426929,0655726929 na 0742188846...
Habari za leo ndugu zangu. Nina mzigo wa spare ya TVS King ( wengi tumezoea kuziita Bajaj) aina ya Minor Kit (Rubber za Master) kama zilivyo zoeleka mtaani. Nina pieces 500 kwa sasa na nauza kwa...
kama unaitaji kiwanja , magari aina zote , nyumba mahali popote usiogope kuntafuta upate uepec katika kuvipata piga namba 0628353336 au 0719702658 au 0682281995
Hbr za majukumu wadau, nina mpango wa karibuni wa kununua water pump kwa ajili ya kurahisisha Kilimo cha umwagiliaji, nalima ekari 2, chanzo cha Maji ni mto.
Mtu mmoja akanishauri nianze na water...
Jipatie kitanda cha 5 kwa 6 kwa shilingi 160000 tu. Kinapatikana dodoma west chinangali karibu na hijra au chama kubwa (ccm). Nitafute kwa nambari 0764858251 au 0689922279
- Nabadilisha mikanda/tape za vhs kwenda mfumo wa digital yani kuziweka kwenye memory au dvd e.g. mikanda ya maharusi, vipaimara, etc (vhs tapes to modern digital video conversion...store in...
Nilinunua friji yangu aina ya candy kubwa mtumba nikaiwasha kwa 3 month bila tatizo shida niliyoiona ni thermostat ilikuwa hijizimi na kuwaka kama nyngn, tatizo limejitokeza baada ya kuizima...
jipatie memory card zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu kabisa na upewe warrant ya miezi 12,
4gb-7,000
8gb-10,000
16gb-14,000
kwa wanaohitaji jumla na rejareja pia napatikana mwanza,mikoani...