Plot4Sale Kiwanja kikubwa kinauzwa isaka Kahama

Mhigwa one

Member
Nov 5, 2016
60
46
Mimi ni mmiliki wa Kiwanja kilichopo Isaka kahama Barabara ya nne,

Kiwanja ni kikubwa cha kutosha hakijapimwa ila kipo kwenye ramani hakina mashaka kuna vitu vifuatavyo kwenye kiwanja kisima cha maji, kijumba kidogo cha vyumba 2 tayari kuweza kuanzia kuishi chenye mpangaji ndani yake, boma la nyumba kubwa iliyo usawa wa madirisha msingi wa mawe na eneo ni la kutosha kujenga nyumba 2 za kisasa.

Liko karibu na mashaka fundi pkpk au nyuma ya bwana Richard nwagi mfanyabiashara wa mpunga matangazo yametolewa karibu sana! Kwa mawasiliano nicheck 0754094478 wasap n.k
 
Back
Top Bottom