viwanja kwa ajili ya ujenzi vinapatikana maeneo ya ITENDE 3km from the main (TUNDUMA ROAD)
maji na umeme vinapatikana karbu na viwanja.kwa taarifa zaidi piga 0765432283
Wakuu najua JF ni kubwa sana, hapa nitapata msaada wetu ama nitapata mwanga. Kuna viti nataka nivisafirishe kutoka hata DSM kwenda Cape Town, South Africa. Na-prefer viende kwa meli so kama kuna...
kadli siku zinavyozidi kwenda vitendo vya wizi na utapeli wa kila aina unazidi kushamili katika jamii, pengine ni changamoto ya kiuchumi, mazoea ama nafsi ya mtu hupelekea vitendo kama hivi...
Zantel wameshauriwa na Distributor wao mkubwa anayeitwa Rifaro ili watumie fungu la advertising kuwalipa wana wa mtandao ili wawaenezee biashara yao badala ya kupoteza mapesa kwenye matangazo ya...
Nyumba inapangishwa laki 3.5 kwa mwezi,ina Geti imezungushushiwa uzio,vyumba vinne,sitting room,dining room, car parking na maji yapo ipo karibu na barabara kuu maeneo ya Airport Daressalaam!
Wadau,
Kuna hitaji la haraka sana la chumvi isiyosagwa (coarse salt) na siyo fine salt , kwa wingi sana kama tani 30 kwa wiki.
Soko lipo tayari mwenye namna naomba tuwasiliane haraka sana kwa...
INTRODUCTION
Kwa sasa hauitaji kulipia DSTV package yoyote maana Tayari wachina wameingia Chimbo na wamekuja na hizo receiver/Dongle za Sattelite Key Sharing(sks) na Internet key Sharring(IKS)...
African capital ni taasisi inayohusiana na utoaji wa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali hapa dar es sala. Tunatoa mikopo kwanzia laki mbili mpaka million kumi. Riba ni 18% kwa mwaka. Malipo ni...
Karibuni ndugu zangu kwenye huduma za bei nafuu kabisa za Mapambo,Chakula, Keki za sherehe za aina zote, MC na Mziki. Kama una harusi, send-off, kitchen party, kipaimara, ubarikio, maafari ya aina...
Tunauza ps2 complete sets,
# cheaped console
#2 pads
#1 8gb flash disk with three games of your choice.
#1 booting memory card
all cables
Bei 150,000/=
No ya simu 0658327429
Dar es salaam...
Amani iwe kwenu. Mimi ni mzalishaji wa sembe bora. Nepeleka dar-es-salaam na Moro. Napokea oda za sembe kwa mfuko wa kilo 25. Sembe ni nzuri na nyeupe. Bei ya jumla ni tsh 26000tsh kwa kilo 25...
Habari wakuu,
Natafuta frem ya kukodisha maeneo ya ferry/kivukoni Dar es Salaam, budget yangu ni kuanzia tsh 120,000/= mpaka 180,000/= kwa mwezi, malipo kodi ya miezi 6. Mwenye nayo tuwasiliane...