Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza bidhaa za kutunza ngozi bila kuchubua wala kuharibu ngozi kwa style yoyote ile Happy skin ....ewe Mkaka na mdada changamkia hii hutojutia makovu yote mwilini na vipele kwisha unabaki soft...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nahitaj redio yoyote ya memory card iwe ndogo ama size fulani nipo moshi njoo pm
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta fridge kwaajili ya biashara yenye muonekano kama za Coca-Cola yaa iko wima na kioo mbelee
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau nauza friji aina ya westpoint.Nimeitumia kdgo ila iko safi na inafanya kazi vizuri sana.Nauza laki 190.Karibuni sana.Kwa mawasiliano 0689900000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ina window 10 na inasupport 4g. price 350k
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Kwa wenye supermarkets na maduka makubwa na madogo au mtumiaji wa kawaida ni pm...niko mwanza derivery tunafanya.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf wenzangu hope mnaelendelea salama ... Ningependa kuja mtu mwenye idea at least ata kidogo namna ya kufungua new website ... Nina shida nayo tena sana ASANTE
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Kwa mahitaji ya wajasiliamali
1.Soda ash
2.Caustic soda
3.Sodium hypochlorite(jik)
4.rose perfume, lavanda, jasmin, lemon
5.Grycelin
6.Acetic acid
7.Acetone<br...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Nataka dishi kwa ajili ya kuunganisha na receiver yangu startsat kwani langu nimekuta limeibiwa na nina uhakika dish lolote linanifaa!!Bei isizidi elf 20 kwani dukani dish tupu elf 40!![emoji51]
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wandugu? Naomba mnisaidie wapi naweza pata msaada wa vifaa ujenzi au pesa katika project yangu ya ufugaji kisasa wa nguruwe. Sehemu ya eneo lilipo n morogoro wilaya ya ifakara karibu na...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Tunauza mitungi ya Mihan gas ya 6Kg kwa bei ya 70000 ikiwa complete na regulator, trivet, burner, na gas yake. Tupo Kibaha na walio karibu na maeneo hayo ataletewa hadi nyumbani.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mahitaji yote ya SOLAR YA KIUFUNDI, KIUSHAURI NA VIFAA VYOTE VYA SOLAR pamoja na BACKUP za UMEME kwa gharama nafuu zaidi zinapatikana SNL SOLAR CO. LTD na tunatoa Warranty ya kutosha. Tupo SINZA...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Mahitaji yote ya SOLAR YA KIUFUNDI, KIUSHAURI NA VIFAA VYOTE VYA SOLAR pamoja na BACKUP za UMEME kwa gharama nafuu zaidi zinapatikana SNL SOLAR CO. LTD na tunatoa Warranty ya kutosha. Tupo SINZA...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Nauza Simu nzuri kwa bei rahisi,zipo Tecno c8,techno n2,samsung Galaxy s3,iphone 4s/5s,Na nyingine nyingi zipo nicheki WhatsApp number 0719269820.
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Wakuu habari! Nahitaji chokaa ya kutengenezea chaki, mwenye kuuza hiyo product tuwasiliane Tufanye biashara kwani nahitaji mzigo mkubwa LOL
1 Reactions
1 Replies
944 Views
Nauza shamb langu lenye ukubwa wa Hekari moja lipo Manispaa ya mji wa mtwara sehemu inaitwa Naliendele Shangani, ni shamba lenye ukubwa wa hekari moja na likiwa na baadhi ya mazao kama Mikorosho...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pata drip irrigation system kwa bei poa
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ipo karibu na Kampala I. University- dakika 5 kwa kutembea. Ina Umeme, wapangaji na documents za umiliki.Piga simu 0712173615 au katabazi@hotmail.com,naiuza mwenyewe si dalali.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…