hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,900
- 9,674
Nauza shamb langu lenye ukubwa wa Hekari moja lipo Manispaa ya mji wa mtwara sehemu inaitwa Naliendele Shangani, ni shamba lenye ukubwa wa hekari moja na likiwa na baadhi ya mazao kama Mikorosho mwenye kuitaji unaweza kunicheck 0767 723294 bei ni milion 16