DRIP IRRIGATION SYSTEM

DRIP IRRIGATION SYSTEM

socket

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
305
Reaction score
434
5a3ba484c99136ffe423da6193c734cc.jpg

Pata drip irrigation system kwa bei poa
 
Order sasa full system ya umwagiliaji kwa bei poa ya promotion
-Solar water pump yenye controller
-Drip Irrigation System
-Water Tank

Contact:- +255 688 105 073/ +255 757 065 007.
 
Order sasa full system ya umwagiliaji kwa bei poa ya promotion
-Solar water pump yenye controller
-Drip Irrigation System
-Water Tank

Contact:- +255 688 105 073/ +255 757 065 007.
Tangaza bei mkuu minimum sh. Ngapi?
 
Order sasa full system ya umwagiliaji kwa bei poa ya promotion
-Solar water pump yenye controller
-Drip Irrigation System
-Water Tank

Contact:- +255 688 105 073/ +255 757 065 007.
Naomba kujua je hii system ni pamoja na kuchimbiwa kisima au?? Na hii pump ya solar ni kwa futi ngapi? Na kit inauzwa kiasi gani?
 
Drip Irrigation Kit ni ina range kuanzia TShs 2.0-2.4 Mil kwa ekari kutegemea shamba lilivyo na urefu kutoka kwenye Tank lako.

Solar Water Pump ni kuanzia 3.7Mil na kuendelea hii ni kutokana na nyaya connection kulingana na umbali wa kisima,sehemu ya kuweka Solar na Tank la maji lilipo.
Capacity ni 12600liter/day katika urefu wa kisima cha mita 15.

Kisima hatuchimbi kwa sasa ila tunatoa ushauri wa njia za uchimbaji kisima ambazo niza kawaida.
 
Jamani mita 15 pump ya solar 3.7 milioni.
Tuone aibu.
Wakati nimekuta pump pamoja na panel plate zake za solar mita 120 inauzwa dirham 5000 sawa na miloni 3 laki 4 za bongo. Usafili hadi bongo dola 300. Nimeulizia ushuru ni kati ya dola 250.
Sasa mwenzetu. Mita 15.
Nisiharibu biashara za watu
 
Iko hivi Head (urefu) ni inverse proportinal to Flow rate (kiwango cha maji) hapa tunazungumzia uwezo wa Pump.
Sasa mara nyingi kwenye label huwa wanaandika kama mfano huu
Max.Head -120m
Max.Flow rate - 20 cu.m/h
Maana yake katika Max Head ya 120 basi flow rate itakuwa Min ambapo utakuta pengine ni 1(cu.m/h) cubic meter/hour. Na katika Max.Flow rate hiyo ya 20cu.m/h basi Head ni Min pengine 5m.
Ni rahisi kufikiri kuwa nguvu ya uwezo wa pump (Horse power) haubadiliki kinachobadilika kiwango cha maji kulingana na urefu wa kisima.
Kwa maelezo zaidi nitafute tueleweshane kwa hisani ya watu wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom