sabuni za kuogea

sabuni za kuogea

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Habari wadau?kuna sabun ya kuogea inaitwa active naweza kuipata wap au mtu mwenye namba za wasambazaji wake an pm tafafadhali.
1479042217765.jpg
1479042228126.jpg
1479042241186.jpg
 
mara nyingi wanafanya door to door promotion maeneo ya kitumbini, mnazi mmoja na kariakoo na ofisi zao ziko maeneo ya tabata bima kuhusu mawasiliano nimepoteza namba zao za simu.
 
Asante mkuu... Kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao tafadhali anipatie
 
Back
Top Bottom