jimmy jay jay
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 223
- 39
wakuu nauza tecno W3LTE ina hali nzuri na bei ni 140000/= niko dar/tandika mawasiliano ni 0652002828.simu ina hali nzuri
Ushauri mkuu, Mimi Nipo mbeya hiyo simu inauzwa bei hiyo dukani huku mbeya sijajua DSM!wakuu nauza tecno W3LTE ina hali nzuri na bei ni 140000/= niko dar/tandika mawasiliano ni 0652002828.simu ina hali nzuri
Huku hata kwa 130,000 mtaa wa aggrey unapataUshauri mkuu, Mimi Nipo mbeya hiyo simu inauzwa bei hiyo dukani huku mbeya sijajua DSM!