Nipo mbezi mwisho-kimara dar.bei ya complete na screen. ofisi yako iko wapi. vipi wa mikoani. nahisi humu mnatangaza kwa kujali sote tunaish dar
Mkuu nipo mbezi kimara-mwisho dar.bei complete pls na unapatikana wap
Ni core i5? Mbona imeandikwa pentium boss??
Tuwasiliane boss.Bado ipoo?naitaji?
Niko mkoani(tanga)inakuaje?Tuwasiliane boss.
Poa best.Ebwana nichek 0716069884...nahtaji Hata kesho
Wanunuaji wameshafika bei acha uboya.Hamna core i5 hapo. weka proof kama ni core i5.
Kama mashine ndo hiyo kwenye picha hamna core i5 hapo, inawezekana hujui hata unachokiuza.Wanunuaji wameshafika bei acha uboya.
Unataka niweke na screenshot ya system infos humu au? Yani unawezaje kuhakiki ubora wa bithaa kupitia online peke yake bila kufanya ukaguzi physically? Wakati mwingine ujuaji mwingi unaweza kukufanya ukaonekana zuzu😀
Kama mashine ndo hiyo kwenye picha hamna core i5 hapo, inawezekana hujui hata unachokiuza.
cc Chief-Mkwawa
Mkuu hujanichek aiseeePoa best.