Toyota Raum new model vs toyota premio 2005

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Tafadhali rejea kichwa cha habar hapo juu. Nahitaji kununua gari moja wapo hapo juu. Naomba ushauri juu ya gar hizi hasa uimara wake fuel consuption na pia kuhusu confortability. Pia mnaweza nishauri gar jingine ila lisizd cc 1500. ninaishi bunju na nahtaji usafiri wa kwenda posta na kurud kila sku pia kipato ni cha kawaida sana. Asnteni sana na karibuni.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Wewe umeandaa bajeti ya kiasi gani kwa ajili ya mafuta kwa siku
 
Kwanza nikuulize mleta mada je unataka kununua gari ya mwaka gani?kama ni kuanzia 2005 nunua Premio iko safi sana hautajutia pesa yako pia inategemea matumizi kama unafamilia nunua Raum ila kama kijana unaishi peke ako na mchepuko kwangua Premio
 
tafadhali mkuu unaweza kufafanua zaidi kuhusiana na raum na premio.
 
Mkuu kwa km. 60 kwa siku na kwa bajeti ya 50000 kwa siku tano bado ndogo hasa kwa hapo mjini,kama umepanga kununua gari nunua tu ukishindwa kuhudumia paki, kama utang'ang'ania kwa bajeti hiyo nakushauri tafuta bajaj au TVs wiki itaisha bila tabu
 
Mkuu Kwa 60000 inawezekana tuseme rafully ltr 1 km 10 na litr 6 sawa na 2000x6 =12000 kwa siku ambapo ni sawa na kusema 12000x5 =60000.
 
Na hyo gari huwa zinaenda angalau km 13 kwa litr. Ni maoni yangu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom