Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

OFA OFA OFA OFA Ungependa kutengeneza tovuti yako bure sasa na kwa muda mfupi? Ungependa kupata hosting na space kutosha? Ungependa kupata domain name bure ? tzhost inakupa yote hayo pamoja na...
1 Reactions
3 Replies
838 Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo kati ya Mjimwema, Kibada na Gezaulole. Nyumba iwe na vyumba 2 vya kulala, sebule na jiko. Pia kuwepo na maji na packing ya gari mbili. Bajeti yangu ni tzs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eneo liko Buswelu jijini Mwanza, mita 200 kutoka Buswelu centre, linafaa kwa kufanya biashara ya uzalishaji (kiwanda kidogo), pia linaweza kutumika kwa kuendeshea mafunzo / chuo. Awali lilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Habari zenu wana jamvi niko mwanza nataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata kampuni ambayo inauza magari showroom ambapo ntakua naweka Pesa kidogo kidogo hadi ifike kiasi hicho ndo nichukue...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Wana jukwaa habarini, Juzi juzi nilieka advert ya kuuza sim humu JF, basi wakatokea watu waka ni PM na mmoja wao alikua anatumia username Deimos, basi akaniambia yupo Tabora na yupo interested na...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Tunatoa huduma za printing kwa bei ya Mtanzania[emoji4] Karibu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza Samsung s7 Edge/32gb hiyo inahitaji Tsh. 1,100,000 / Tsh.1.1m...mwenye uhitaji anicheki 0655659115
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Jipatie lotion za kutoa nyama uzembe,weusi wa kijichubua, michirizi sugu.mawasiliano 0784130874 au nifollow @ slimming lotion
0 Reactions
6 Replies
941 Views
Inajicharge yenyewe cjui inakuaje? Nikitoa kwenye chaji bado inaonyesha ile alama ya charging, mwenye utaalam anisaidie plse, cm ni original, c ya kichina
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Price 9.2M Contact 0672-926143
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari..naitaji godoro la dodoma foam inch 8-10...kwa bei ya inch 8(120,000-130,000)inch 10-150,000... wapi naweza nikapata kwa bei hiyo??? Napatikana tabata kinyerez.z shukran
0 Reactions
24 Replies
55K Views
Wadau salamu zenu! Ninatafuta kiwanja maeneo ya Majohe kiwe karibu na kwa Ngozoma au Majohe Kichangani. Kiwe na ukubwa wowote. Natanguliza shukrani wadau.
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Salama wakuu katika jukwaa hili Nina shida na Tv ya Inchi 32 kama kuna MTU ana tawi Kwa Mwanza na Musoma tafadhali Anicheki Kwa 0767258286 WhatsApp 0789258286
0 Reactions
1 Replies
902 Views
kwa aliye serious anaweza kuwa ananiagizia pweza toka dar kuja mbeya kila siku anipm
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nataka pikipiki aina ya boxer mpya na bei yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
OFA OFA OFA OFA Ungependa kutengeneza tovuti yako bure sasa na kwa muda mfupi? Ungependa kupata hosting na space kutosha? Ungependa kupata domain name bure ? tzhost inakupa yote hayo pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Nyumba ya kisasa parking, Kisima cha Maji safi Gari hadi getini, Ipo km 1 toka darajani/pantoni Tsh. 500,000 kwa mwezi Vyumba vitatu kimoja master Sebule ,Jiko la ndani na nje, choo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari,wakuu Natafuta dalali yoyote wa magari,tuwasiliane 0762508455.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata Monitor ya komputer kuanzia inch 24 na kuendelea ani PM, ila iwe na uwezo wa kutumika kama TV pia kwa kuunganisha King'amuzi na DVD Player
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…