shakidy
Senior Member
- May 11, 2009
- 130
- 72
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo kati ya Mjimwema, Kibada na Gezaulole. Nyumba iwe na vyumba 2 vya kulala, sebule na jiko. Pia kuwepo na maji na packing ya gari mbili. Bajeti yangu ni tzs 250,000/= kwa miezi sita na nipi tayari kuhamia kuanzia Januari 2017.
Mawasiliano yangu ni 0755 887785 kwa sms au whatsaap tu.
Mawasiliano yangu ni 0755 887785 kwa sms au whatsaap tu.