Nataka gari kutoka showroom

Nataka gari kutoka showroom

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Habari zenu wana jamvi niko mwanza nataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata kampuni ambayo inauza magari showroom ambapo ntakua naweka Pesa kidogo kidogo hadi ifike kiasi hicho ndo nichukue gari namba yangu 0759212578
 
MKUU Michael Chairman umshauri vizuri jamaa yetu asingechelewa kuanza kulia lia humu.
 
Habari zenu wana jamvi niko mwanza nataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata kampuni ambayo inauza magari showroom ambapo ntakua naweka Pesa kidogo kidogo hadi ifike kiasi hicho ndo nichukue gari namba yangu 0759212578
Njoo na asilimia 70 ya bei ya gari mpya nikupe gari Leo kiasi kinachobaki ulipe kidogo kigodo
 
Njoo yard chagua gari bei halisi ya gari unalipa 70% inayobaki tunaandikishana utalipa lini ,gari unaondoka nayo kadi ya gari inabaki
Hakuna zengwe la kwamba nimeiba gari ikiwa hivyo?gari likipata ajali?balance inalipwa kidogodogo kivipi yaani asilimia ngapi ngapi kwa muda gani?
 
Njoo yard chagua gari bei halisi ya gari unalipa 70% inayobaki tunaandikishana utalipa lini ,gari unaondoka nayo kadi ya gari inabaki
sasa mm nitakujaje huko wakati cjajua nijipange na kias gan unatakiwa utoe maelezo kama mimi ninataka noah uniambie zipo za kuanzia kias gan
 
Habari zenu wana jamvi niko mwanza nataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata kampuni ambayo inauza magari showroom ambapo ntakua naweka Pesa kidogo kidogo hadi ifike kiasi hicho ndo nichukue gari namba yangu 0759212578
A lot of things could go wrong!
-Kampuni ikifilisika? Ikihama? Ikibadlishwa umiliki?
-Utakuwa umechagua gari au utaweka tu then gari utazozikuta zinaendana na pesa uliyoweka utachukua?
Kama ni mfanyabiashara zungusha hiyo pesa, kama ni mkulima mvua ndiyo hizi itie shambani, kama ni mwajiriwa weka akaunti ya malengo uwe unaweka kila mwenzi baada ya miezi kadhaa utatimiza tu malengo yako.
 
Back
Top Bottom