I#43INCH #LG OFFER LA XMAS+PACKAGE YA VITU VYA BURE YAKIBAE COZ NOW UNAPATA MPAKA FLASH YA 2IN1 BURE+LG DVD PLAYER(DEKI)+BRACKET+HDMICABLE+DIGITAL INDOOR ANTENNA=FREE DELIVERY(DAR)
OFFER IKO NA PC...
Nyumba inauzwa ipo Mabibo Makutano Mita 300 Kutoka N.I.T kuelekea makutano
Nyumba ipo kwenye Eneo la mita 45
Ina apartments za kuishi Sita
Ina fremu NNE
Bei ni 300 million
Mazungumo yapo...
KIWANJA KIZURI CHA BIASHARA NA MAKAZI KINAUZWA BUNJU.
KINA FRAM 2 ZA BIASHARA NA KIKO FENCED. UKUBWA 30m kwa 20m
KIKO BARABARANI.
BEI Maelewano inbox
0767 761753
Heshima yenu wana janvi. Tafadhali, mwenye kujua wapi naweza kupata liquid rubber au fast curing silcone anielekeze. Liquid rubber huwa iko in two parts A & B , zikichanganywa inapata rubber.
Habari wana JF, gari yangu Premio silver imeangusha bampa. Kwa anayeuza au kujua wapi wanauza anijuze. Ni Premio hizi zenye sensa. Kwa hiyo na bampa liwe na sehemu za sensa.
Asanteni
Habari wakuu, naomba kujua duka ambalo naweza kupata hiki Modem Router yenye uwezo wa kutumia line za mitandao yote na iwe na uwezo wa kutumika ktk computer 10 au zaidi. Sitaki zile zinazotumia...
At Ziwa Garments and Apparel, we manufacture and brand Corporate Uniforms, Company staff Uniforms, we print full colour custom tee / custom t shirts, Polo shirts and various other uniforms.
Our...
Wakuu,
Ninauza Coaster Bus safi inafanya kazi ya daladala kati ya Temeke na Muhimbili. Gari ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha na ipo barabarani inaendelea na kazi. Bei ni Mil. 13...
ninauza toyota progress ikiwa katika hali nzuri
gari haina tatizo lolote
haijawahi kufunguliwa injini
AC inafanya kazi vizuri
bei ni mil 6 ila haipungui
anagalia picha ukipenda njoo tuongee 0656497469
nauza pikpik Suzuki cc60 na speed60 vespa ina vibali vyote ila ina no. za Zanzibar ni ndongo mtu mmoja inasumbua plug tu nipo mitaa ya kinondon mkwaajun bei ni 400,000\ tu.
sijui kuaplog picha...