Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Njoo nikuuzie moka kaali za ofisini na bila kusahau raba Kali za kuvalia sehemu yoyote ile kama kwenye sherehe, club, gym, na n.k
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Kiwanja kipo mbweni mpiji kina hati 645,sq m maji na umeme vipo hakuna dalali unahitaji kipo karibu na shule ya kimataifa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
VIWANJA VINAUZWA.VIWANJA VINAUZWA. VIWANJA VINAUZWA VIPO VIWILI KWA PAMOJA,KILA KIMOJA KINA UKUBWA WA MITA 16 KWA MITA 16. KIPO MAENEO YA CHANIKA SHULE MPYA YA KABAKARI. KILA KIMOJA KINAUZWA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kuna plot zipo sokoni,maeneo ya kwa mromboo Arusha. Mwenye navyo ana dharura. Urefu ni 11 kwa 10 tshs 2m,vipo viwili. Ama unaweza chukua vyote viwili (11 kwa 20) kwa 4m.
0 Reactions
3 Replies
690 Views
SIMU YANGU TECNO W4 INA MWEZI MMOJA MPAKA SASA LAKINI NIMEPATWA NA SHIDA YA KIPESA NIMEONA NIUZE NILICHONACHO MAANA NDO MSAADA WANGU WA KUJIKWAMUA KATIKA TATIZO LANGU SIMU YENYEWE INA LAKI MOJA NA...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Nauza vifaa mbalimbali vya computers na kuwapa ushauri kwa mtumiaji pale atakapohitaji na kufungiwa. Napatikana kwa no ; hizi 0713 560590 na 0766 507080. Wahi kwa bei nafuu,
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wakuu, Ninahitaji nguruwe dume mkubwa mwenye uwezo wa kupanda jike lenye kilo 120 au zaidi. Akiwa large white au landrace itakuwa vizuri zaidi. Mwenye naye anipe bei tufanye biashara, nipo...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Pata pochi nzuriii na za kisasa kabisa kwa bei nafuuu kabisa ya Tsh75000 <br />Kwa mawasiliano zaid njoo pm<br /><br /> PIA ZIPO ZA TSH50000<br />
1 Reactions
1 Replies
14K Views
Wadau. Nahitaji wauzaji wa vifaa vya Shade na wataalamu wa kuzifunga site huko Mbeya. Mfano wa shade hapa chini.
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Sold
1 Reactions
12 Replies
3K Views
OFA KUBWA kutoka Mkuki na Nyota! Pata vitabu vyote 9 kwa bei ya vitabu 7 na ukamilishe seti nzima ya ALFU LELA U LELA. Vitabu hivi vinasisimua sana na kama hujawahi kuvisoma basi ukianza kitabu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nauza Toyota starlet Million 4 Cc 1330 Mileage 200000 0655006677
0 Reactions
13 Replies
3K Views
I
1 Reactions
2 Replies
942 Views
Frame za biashara zinakodishwa (Mandazi Road) Msasani baada kona ya Kimweri na Maandazi Road. Ni frame mpya zime baki mbili kati ya frame tatu. Mita 150 kutokea Kimweri Road upande wa kulia. Bei...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Deal done!!
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Nauza ubuyu wa embe ambazo zimekaushwa na kupikwa kama ubuyu ni mtam sana kwa anaehitaj 0654695943 Tabora. Jumla na rejareja kwa bei nafuu sana 1000 kwa 500
6 Reactions
73 Replies
13K Views
Kwa mikoa ya Mwanza, Geita, pia Kahama, Nzega n.k Kama unataka senene wailokaangwa kwa jumla ni PM Nauza kuanzia nusu ndoo (lita10), ndoo nzima (Lita 20) na kuendelea Bei nusu ndoo ni Tsh...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali dar es salaam kwanzia laki mbili mpaka million kumi na tunanunua madeni. Huitaji dhamana wala mdhamini, riba ni 18% kwa mwaka na malipo ni ndani ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…