Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Zuria hapo pichani linauzwa. Nipo Sinza, kama unahitaji nichek. Limetumika miezi 3 tu. Mita 5 kwa 4. Bei ni 150K
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeitumia kwa miezi miwili. inapiga simu bei ya kutupa 250K kwa anayehitaji karbu PM niko dar. ..........update...... Imeizwa asante sana kwa aliyeanzisha hili jukwaa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
U can as well contact me on 0767686874 for more details
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Heshima kwenu wadau!wapi ntaweza kupata spea za gari aina ya Volvo cx90 hapa dar .... Natanguliza shukrani.... Ova
0 Reactions
5 Replies
705 Views
Habari Ndugu, tunatoa huduma ya Video Shooting kwa Music aina zote, Movies, Matangazo, Events na vitu zote zinazohusu shooting..... Gharama yetu ni rahisi saana, tunapatikana njia panda ya Segera...
2 Reactions
2 Replies
946 Views
.
0 Reactions
0 Replies
429 Views
MENU YA ElFU 7000,kuku robo,wali mauwa ,pilau,nyama ya ng'ombe rosti,njegele Nazi,ndizi nyama Nazi,tambi,saladi, tunda,maji uhai nusu kwa wote.ugali kwa wahitaji(chakula cha asili). Pia zipo menu...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Ipo kigamboni hii ni mpya Bei: laki 2.5 (miezi 6) Vyumba viwili kimoja master, jiko, , public toilet na sitting room,fence na parking Luku na maji vinajitegemea Ndani ya kompaundi kuna nyumba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Bei tsh milioni 25 Iko Mwemberadu kigamboni Km 2 toka kwenye Pantoni +vyumba vinne +Sebule +tiles Ina Umeme Maongezi Yapo Unaweza ifanya hostel, kwani kuna wanafunzi wengi wa chuo wanahitaji...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kiwanja kipo kange stendi mpya, kinaukubwa wa m20x30 kipo karbu na stendi kuu ya mabasi tanga, bei ya kiwanja ni mil 5.8 mazungumzo yapo, kiwanja kinaoffer.. Kwa mawasiliano pga no. 0713 575797
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Natumai muwazima, namiliki biashara na hapo awali nilisajili Brela kama sole proprietor ila kutokana na malengo niliyokua nayo awali na ukuaji wa fursa nataka kuisajili kama...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Wadau, heshima kwenu. Mimi ni mpiga picha mwenzenu niko Geita Natafuta zile background za studio (vile vitambaa maalum vya studio kwa ajili ya kupigia picha za still) Vinakuwa kama picha flani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anayeuza mabati ya M-SOUTH nahitaji... 0769321005 serious.
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Wadau mwenye ufahamu wa hili naomba taarifa. Natafuta kasuku. Bei yake ikoje?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nataka kitanda cha mbao (aina ya bufa) 5kwa6 haijerishi kipya au used.....ofa yangu 200000, nipo mbagala
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau. Nina kuku watatu wa kienyeji pure nawauza. jogoo mmoja na majike mawili, woote kwa pamoja wanagharimu elfu hamsini za kitanzania. karibuni sana napatikana kivule. ukihitaji kama uko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kwa mtu aliyesoma veta chang'ombe anipe mawasiliano ya msajiri natafuta nafasi jamani
0 Reactions
6 Replies
969 Views
Moo Entertainments is a Modeling Agency in Dar es salaam - Tanzania.. If you need Models and video Queen for Fashion show and advertising... please well come to Our Office. contacts: +255...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…